Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Canada: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Canada ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb.

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

- Video -

- Fadhila za Khilafah: Mifano kutoka Historia -

Mazungumzo ya moja kwa moja juu ya jinsi Khilafah Rashidun inavyoshughulikia maswala ya kijamii na utunzaji wa Umma, kuanzia utoaji mahitaji ya kimsingi hadi usalama wa ndani.

Jumatatu, Rajab 17 Muharram 1442 H sawia na 01 Machi 2021 M

Umma Utamhisabu Vipi Khalifah?

Umma una haki ya kumhisabu Khalifa kwa vitendo vya dhulma haki mbele ya mahakama.

(Angalia Kifungu cha 87 cha Katiba ya Dola ya Khilafah)

Jumanne, 18 Rajab Muharram 1442 H sawia na tarehe 02 Machi 2021 M

Khalifa Anawasimamia Vipi Waislamu na wasio Waislamu!

Kuhusu mfano wa Omar, Mungu amuwie (ra), katika kupikia wanawake chakula, ni thibitisho la namna khalifa anavyoweza kuwasimamia vyema raia wake, Waislamu na wasio Waislamu kwa usimamizi wa raia wake wote!

Jumanne, 18 Rajab Muharram 1442 H sawia na tarehe 02 Machi 2021 M

- Kumhisabu Mtawala katika Uislamu -

Video hii inazungumzia jinsi hakuna mtu aliye juu ya sheria katika Khilafah, na kwamba sheria inatumika kwa kila mtu bila kujali vyeo vyao. Kwa kuongezea jinsi wasiokuwa Waislamu wanavyotendewa haki.

Jumamosi, 22 Rajab Muharram 1442 H sawia na tarehe 06 Machi 2021 M

- Mambo Matano Ambayo Khilafah Itayakidhia juu ya Ufukara -

Video hii inazungumzia jinsi Khilafah itakavyoondoa umaskini katika mambo matano, na jinsi urasilimali licha ya kuwa ni mfumo unaotawala ulimwenguni leo, umeshindwa kukidhi mahitaji ya kimsingi ya mwanadamu.

Jumanne, 24 Rajab Muharram 1442 H sawia na tarehe 09 Machi 2021 M

- Je! Ni Ipi Thamani ya Makubaliano? Kwa Kuuangalia Jinsi Khilafah Inavyotibu Njia Mbovu za Kirasilimali -

Video hii inajadili na kubaibisha njia mbovu ambazo ndio thamani halisi ya kupata furaha ya kirongo ambazo zimeundwa na ulimwengu wa kirasilimali. Video hii imegawanywa katika sehemu tatu:

1. Mnyonge ni nani?

2. Je, mtetezi ni nani?

3. Je, Khilafah italitatua vipi tatizo hili?

Jumanne, 24 Rajab Muharram 1442 H sawia na tarehe 09 Machi 2021 M

[ Amali katika Facebook na YouTube ]

- Sifa za Khilafah -

Ni yapi ambayo twaweza kujifunza kutokana na Seerah ili kusimamisha Khilafah?

Halaqa hii ya [Sifa za Khilafah] ilizungumzia seerah ya mpendwa wetu na bwana wetu Muhammad (saw) ili tuweze kupata mafunzo kutoka kwake juu ya vipi seerah ni chanzo bora cha hukmu na mtetezi wa kusimamisha tena Khilafah.

Alhamisi, 20 Rajab Muharram 1442 H sawia na tarehe 04 Machi 2021 M

- Sifa za Khilafah -

Uchumi na Mali katika Dola ya Khilafah

Halaqa hii ya [Sifa za Khilafah] ilizungumziautukufu wa hukmu zinazohusiana na uchumi na mali katika Uislamu chini ya Dola ya Khilafah.

Jumamosi, 22 Rajab Muharram 1442 H sawia na tarehe 06 Machi 2021 M

- Sifa za Khilafah -

Maswali na Majibu

Kifungu hiki cha moja kwa moja kutoka halaqa za [Sifa za Khilafah] kilishughulikia maswali na majibu, ambapo iliwezekana kuuliza maswali juu ya mada zilizojadiliwa wakati wa wiki:

1. Mafunzo kutoka katika Seerah katika kusimamisha tena Khilafah

2. Sifa za Dola ya Khilafah kutoka katika historia yetu

3. Hukmu ya Uislamu katika uchumi na mali ndani ya Dola ya Khilafah

Jumapili, 23 Rajab Muharram 1442 H sawia na tarehe 07 Machi 2021 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

ReturnTheKhilafah#

YenidenHilafet#

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Canada:

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Canada

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Canada

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Canada

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Canada

Akaunti ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Canada

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu