Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Denmark:

Visimamo vya Kuinusuru Palestina na Kuyahamasisha Majeshi ya Waislamu

Kwa kuzingatia ushujaa ambao mujahidina mashujaa waliutenda katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea katika mashambulizi yake ya Msikiti wa Al-Aqsa, na uzingiraji wake ulioendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut Tahrir / Denmark iliandaa visimamo jijini Copenhagen ili kuyalingania majeshi ya Waislamu kuvunja vizuizi ambavyo watawala Ruwaidha wamesababisha kwenye kambi zao na kutaharaki mara moja kuwakanyaga watawala wasaliti na kuwanusuru Mujahidina katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa kutoka kwa makucha ya Mayahudi wanyakuzi.

Jumamosi, 29 Rabi` Al-Awwal 1445 H - 14 Oktoba 2023 M

- Sehemu ya Amali Hizi –

[Kalima ya Ndugu Hajj Saeed]

[Kalima ya Ndugu Sam Mahabat]

[Kalima ya Ndugu Omar Saad]

[Kalima ya Pili ya Ndugu Sam Mahabat]

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#ArmiesToAqsa

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#Aqsa_calls_armies

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo Zaidi, Tafadhali zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Denmark:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Denmark

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Denmark

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu