Jumamosi, 14 Muharram 1446 | 2024/07/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahir / Indonesia:

Amali Pana za Kuyataka Majeshi ya Waislamu Kuiokomboa Al-Aqsa!

Mbele ya mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) yanayofanywa na umbile la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha vifo na majeraha kwa zaidi ya wanaume na wanawake wa Kiislamu elfu 130 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Indonesia iliandaa amali mbele ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Indonesia Takarta iliyobeba kauli mbiu “Palestina Inakombolewa kwa Jihad na Khilafah” ambayo walishiriki ndani yake zaidi ya Waislamu elfu 13 wanaume na wanawake iliyotaka kuhamasishwa majeshi ya Waislamu kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia Mto wake hadi Bahari yake kutokana na najisi ya Mayahudi wauwaji wahalifu, kwa kusimamisha dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume yenye kuwahami Waislamu na kuwatetea kote duniani.

Jumamosi, 02 Dhu al-Hijjah 1445 H sawia na 08 Juni 2024 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo zaidi zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Indonesia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu