Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Indonesia:

Amali kubwa ya Khilafah na Jihad Kuikomboa Palestina na Gaza!

Kwa mnasaba wa kupita mwaka mmoja wa mauaji ya kikatili yanayoendelea (mauaji ya halaiki) yanayofanywa na umbile nyakuzi la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamepelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa Waislamu zaidi ya 160,000 wanaume na wanawake hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Indonesia iliandaa amali kubwa kwa anwani “Kukomesha mauaji ya halaiki nchini Palestina kunaweza tu kutekelezwa kwa kusimamisha Khilafah na kuhamasisha majeshi ya Kiislamu.” katika miji mbalimbali nchini Indonesia, kama vile Jakarta (mji mkuu wa Indonesia), Bandung, Depok, Bogor, Cianjur (Java Magharibi), Solo Raya (Java ya Kati), Semarang (Java ya Kati), Balikpapan, Samarinda (Kalimantan Mashariki), Bandung, Bogor, Cianjur, Jakarta na Kendari (Sulawesi ya Kusini-Mashariki), Makassar (Sulawesi Kusini), Palu (Sulawesi ya Kati), Serang (Banten), Sulu (Java ya Kati), ambapo maelfu ya Waislamu walikusanyika na kutaka kuhamasishwa kwa majeshi ya Waislamu ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na uchafu wa Mayahudi wauaji wahalifu, pia walithibitisha kwamba kusimamishwa kwa dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume ina uwezo wa kuzikomboa nchi zote za Kiislamu kutoka kwa ushawishi wa wakoloni makafiri katika maumbo yake tofauti tofauti.

Jumamosi, 14 Jumada al-Awwal 1446 H sawia na 16 Novemba 2024 M

- Sehemu ya Matembezi ya Pikipiki katika Mji Mkuu Jakarta -

- Mikutano ya Pembeni mwa Amali za Matembezi ya Pikipiki katika Mji Mkuu Jakarta -

- Kalima ya Profesa Ismail Yusanto ya Kuinusuru Palestina na Gaza -

- Sehemu ya Amali katika Mji Mkuu Jakarta -

- Sehemu ya Amali katika Mji wa Surabaya -

- Picha za Amali Kubwa -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo zaidi zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Indonesia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu