Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir Kenya:
Visimamo Vyenye Kuyataka Majeshi Yachangamke Kuikomboa Palestina!!

 Kwa kuzingatia hali ya wasiwasi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ya mashambulizi ya mara kwa mara ya umbile la Kiyahudi kwenye Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuzingirwa na mabomu ambayo yameendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut-Tahrir / Kenya iliandaa msururu wa visimamo na amali ambazo ziliwakumbusha Waislamu hadhi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuyataka majeshi ya Umma kuchangamka kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuwakomboa kutokana na uchafu wa Mayahudi. Mamia ya Waislamu walihudhuria visimamo hivyo, ambao walionyesha kutilia nguvu na kuunga mkono kwao.

Jumapili, 18 Shawwal 1442 H sawia na 30 Mei 2021 M

Click to enlarge image PHOTO-2021-05-30-19-35-01.jpg

Click to open image!

Kwa maelezo zaidi zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir Kenya:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Kenya

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Kenya

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Kenya

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Kenya

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu