Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Kenya:

Amali katika Tukio la Kumbukumbu ya 99 ya Kuvunjwa kwa Khilafah.

Chini ya muongozo wa Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amuhifadhi, Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu katika kumbukumbu ya 99 ya Kuanguka kwa Khilafah. Tarehe 28 Rajab 1441 H, ambayo inaafikiana na mwaka 2020 M. Hizb ut Tahrir / Kenya imezindua amali maalum, darasa misikitini, warsha, minakasha kupitia mtandao, pamoja na hotuba ya Amir.

Ijumaa tarehe 03 Sha’aban, 1441H – 27 Machi, 2020M

- Darasa ya Shabani Mwalimu – Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari wa Hizb ut Tahrir Kenya-
Katika Tukio la Kumbukumbu ya 99 ya Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

Jumanne 22, Rajab 1441 H - 17 Machi 2020 M

Kwa Habari Zaidi Tembelea Mitandao ya Hizb ut Tahrir/ Kenya

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir/ Kenya
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir/ Kenya
Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir/ Kenya

Chaneli ya Youtube ya Hizb ut Tahrir/ Kenya

#ReturnTheKhilafah   #YenidenHilafet   #TurudisheniKhilafah         أقيموا_الخلافة#

 

Click to enlarge image 2020_03_23_KNYA_KHLFH_ACTV_PICs_01.jpg

Click to open image!

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatatu, 06 Aprili 2020 20:24

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu