Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Wilayah ya Lebanon: Kisimamo Mbele ya Ubalozi wa Misri "Al-Aqsa Yalilia Wanajeshi!"

Chini ya mazingira ya kupiga kambi kwa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na mashambulizi endelevu ya umbile la Kiyahudi dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na kuzingirwa kwake na taharuki ambayo imekuwa ikiendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut -Tahrir / Wilayah Lebanon iliandaa kisimamo mbele ya ubalozi wa Misri jijini Beirut kwa anwani:

"Al-Aqsa Yalilia Majeshi!"

Ambapo Hizb ilituma ujumbe kwa watu wenye nguvu, haswa kwa majeshi ya Misri na ulimwengu wa Kiislam kwa jumla, kutekeleza jukumu lao ambalo Mwenyezi Mungu (swt) amewafaradhishia juu yao kuwanusuru watu wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kupitia jeshi la Misri kutangaza jihad dhidi ya umbile la Kiyahudi.

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Lebanon, Sheikh Dkt. Muhammad Ibrahim, alitoa kalima kwa waliokusanyika.

Halafu, mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir, Mh. Bilal Zidan, aliwasilisha taarifa kwa Mheshimiwa Mkuu wa Jeshi katika Ubalozi wa Misri, Brigedia Jenerali Salah Junaidi, na ilipokelewa na Balozi wa Misri.

Mashababu wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Lebanon pia waligawanya taarifa kwa jina la Wilayah hii kwa magari yanayopita kwa anwani Al-Aqsa yalilia majeshi.

Ijumaa, 09 Shawwal 1442 H sawia na 21 Mei 2021 M

- Wakati na Mahali -

Siku na Tarehe: Ijumaa, 21/05/2021 M

Wakati: Saa Nne Asubuhi (Kwa saa za eneo la Tripoli)

Mahali: Mkabala na Ubalozi wa Misri / Beirut

- Video ya Amali ya Kisimamo Mbele ya Ubalozi wa Misri Jijini Beirut -

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#Aqsa_calls_armies

#AqsaCallsArmies

#OrdularAksaya

Kwa maelezo zaidi zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu