Alhamisi, 23 Rajab 1446 | 2025/01/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:

Kikao cha Kutafuta Nusra kwa ajili ya Watu wetu huko Gaza, na Kuyaomba Nusra Majeshi, na Kuyataka Yatangaze Jihad!

Kwa mwaliko kutoka kwa Hizb ut Tahrir/Wilayah Lebanon, Swala ya Ijumaa iliswaliwa pamoja na kikao cha utafutaji nusra katika "Uwanja wa Al-Nour" jijini Tripoli Al-Sham kwa kichwa "Nusra kwa watu wetu huko Gaza na kuyaomba nusra majeshi ya Umma na kuyataka kuvunja mipaka na kutangaza jihad.”

Ijumaa, 12 Rabi’ Al-Akhir 1445 H sawia na 27 Oktoba 2023 M

- Video ya Ualishi wa Amali -

- Hotuba ya Ijumaa -

Iliyotolewa na Ustadh Mashuhuri Ahmad Al-Qasas

Na Sheikh Khaled Seif aliwaongoza waumini katika swala katika uwanja wa Al-Noor

Baada ya kumalizika kwa Swala ya Ijumaa, kikao kilianza kwa kalima kutoka kwa Sheikh Ahmed Al-Shamali na Sheikh Dkt. Muhammad Ibrahim na nasheed iliotolewa na Dkt. Muhammad Al-Sayyid, na kisha Sheikh Ahmed Al-Shamali akamalizia kwa dua.

Azimio  la Maneno... kutoka Tripoli Ash-Sham... kwenda kwa Majeshi ya Uislamu!

Sehemu ya kikao kilichoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Lebanon, kuwanusuru watu wetu huko Gaza na kuyaomba nusra majeshi na kutaka kufunguliwa kwa mipaka na kutangazwa kwa jihad!

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Mengi Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon

Ukurasa wa Facebook wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu