Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir/ Malaysia: Maandamano na Uwasilishaji Waraka wa Ukumbusho kwa Jeshi la Malaysia Kuinusuru Ardhi Iliyobarikiwa!!

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yalisababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa wanaume na wanawake wa Kiislamu zaidi ya 30,000. Hizb ut Tahrir / Malaysia aliandaa maandamano na kuwasilisha waraka wa ukumbusho kutoka kwa Hizb ut Tahrir kwenda kwa jeshi la Malaysia ukiyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu, kuanzia mto wake hadi bahari yake, kutokana na makucha ya Mayahudi wanyakuzi wauaji.

Ijumaa, 12 Rabi’ Al-Akhir 1445 H sawia na 27 Oktoba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo Zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Malaysia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Malaysia

Facebook: Hizb ut Tahrir / Malaysia

Instagram: Hizb ut Tahrir / Malaysia

Telegram: Hizb ut Tahrir / Malaysia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu