Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Tafadhali unga mkono  #FreeNaveedButt

Kimbunga cha Twitter mnamo 26/12/2020.

Naveed Butt ni Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir nchini Pakistan.

Ndugu yetu huyu jasiri, simba wa Ummah huu, na mbebaji mtukufu wa dawah ya Khilafah alitekwa nyara na vyombo vya usalama vya Pakistan mnamo 11 Mei 2012, alipokuwa akirudi nyumbani akitoka kuwachukua watoto wake shuleni. Mpaka leo hajasikiwa kutoka kwake.

Sasa Mahakama Kuu ya Islamabad imechukua tena kesi ya Naveed Butt Alhamdulillah.

Kampeni ya Twitter imepangwa Jumamosi 26 Disemba saa 10 jioni PST (5 pm GMT) kudai kuachiliwa kwake mara moja yenye alama ishara (hashtag):

#FreeNaveedButt

Kampeni hii itamalizika usiku wa manane PST, 7 pm GMT.

Tafadhali sambaza habari hii, haswa miongoni mwa wale unaowajua kwenye vyombo vya habari vya Pakistan na vile vile wanaharakati wa mitandao ya kijamii, mawakili, majaji, wanasiasa na maulamaa kuangazia kesi hiyo, kwa Hashtag #FreeNaveedButt

Mwenyezi Mungu (swt) ajaaliye kuachiliwa kwa ndugu yetu kuwe hivi karibuni na amlinde kutokana na madhara yoyote. 

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatatu, 28 Disemba 2020 10:35

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu