Alhamisi, 23 Rajab 1446 | 2025/01/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kampeni "Fungeni Anga ya Pakistan kwa Droni za Mauaji na Ndege za Ujasusi za Amerika"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaandaa kampeni pana kwenye mitandao ya kijamii kutaka kufugwa kwa angani ya Pakistan kwa droni za mauaji na ndege za ujasusi za Amerika. Alama ishara ya kampeni ni #NoAirCorridor4US. Mnamo 28 Septemba 2021, kamanda wa jeshi la Amerika (USCENTCOM), Jenerali McKenzie alisema, "Kwa muda wa miaka ishirini iliyopita, tumeweza kutumia kile tunachokiita njia ya anga kwenda magharibi mwa Pakistan ... na tutafanya hivyo pamoja na Wapakistani katika siku na wiki zijazo." Kwa kutumia anga ya Pakistan, ndege za jeshi la Amerika zitaweza kufika Kabul kwa urahisi, kutoka makao makuu ya jeshi la Amerika (USCENTCOM) katika kambi ya anga huko Al Udeid nchini Qatar, na vile vile kuvifanyia ujasusi vituo vya jeshi la Pakistan na nyuklia huko Baluchistan.

Tufani ya Twitter

Fungeni anga ya Pakistan kwa Droni za Mauaji na Ndege za Ujasusi za Amerika

Jumamosi, 27 Rabi' ul-Awwal 1443 H sawia na 30 Oktoba 2021 M

10 PM PST

#NoAirCorridor4US

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu