Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Umoja Chini ya Khilafah Utaimarisha Uchumi Wetu!

Khilafah itakusanya rasilimali zetu nyingi kama dola moja
Mafuta ya Saudi Arabia na Iran
Gesi ya Qatar na Asia ya Kati
Utajiri wa madini wa Afghanistan
Kilimo na nguvu ya nuklia ya Pakistan
Khilafah itamaliza mgawanyiko wetu na unyonyaji wa kiuchumi.

Mwenyezi Mungu (swt) amesema,

(وَالَّذينَ كَفَرُواْ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاء بَعْضٍ إِلاَّ تَفْعَلُوهُ تَكُن فِتْنَةٌ فِي الأَرْضِ وَفَسَادٌ كَبِيرٌ)

"Na wale walio kufuru ni marafiki wenyewe kwa wenyewe. Msipo fanya hivi itakuwako fitna katika nchi na fisadi kubwa " (Surah Al-Anfal 8:73).

#KhilafahEndsAmericanEconomicOrder

Jumanne, 03 Jumada al-Awwal 1443 H - 07 Disemba 2021 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu