Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Naveed Butt Alitekwa nyara na maafisa wa Usalama wa Serikali tarehe 11 Mei 2012 Mbele ya Familia yake!

Naveed Butt Alitekwa nyara na maafisa wa Usalama wa Serikali tarehe 11 Mei 2012 Mbele ya Familia yake na majirani zake.

Watawala wa Pakistan wanaendelea kumteka nyara Naveed, huku wakionyesha kila aina ya huruma kwa jasusi wa India Kulbushan Jadhav na rubani mshambulizi wa jeshi la anga la India, Abhinandan Varthaman.

Je, sio wakati muafaka sasa wa kumwachilia huru Naveed Butt, wakati "Vita dhidi ya Ugaidi" vimemalizika na Tume ya Uchunguzi ya Pakistan kuhusu Kupotezwa kwa Nguvu imetoa agizo la kumtoa?

Toeni wito wa kuachiliwa huru Naveed Butt kupitia vikao vyote vinavyopatikana kwenu, kwani Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) amesema:

«مَنْ نَفَّسَ عَنْ مُؤْمِنٍ كُرْبَةً مِنْ كُرَبِ اَلدُّنْيَا، نَفَّسَ اَللَّهُ عَنْهُ كُرْبَةً مِنْ كُرَبِ يَوْمِ اَلْقِيَامَةِ»

“Yeyote mwenye kumpa afueni muumini kutokana na tatizo miongoni mwa matatizo ya dunia, Mwenyezi Mungu atampa afueni kutokana na tatizo miongoni mwa matatizo ya Siku ya Kiyama” [Muslim].

#FreeNaveedButt

Ijumaa, 13 Jumada al-Awwal 1443 H - 17 Disemba 2021 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu