Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: 

Komesha Utawala wa Kidhalimu, Simamisha Khilafah!

Tuko katika umasikini licha rasilimali zetu nyingi.

Tuko katika udhalilifu, licha ya majeshi yetu kuwa na ari na uwezo.

Mtume wa Mwenyezi Mungu (swt) amesema:

ثم تكونُ مُلْكًا جَبْرِيَّةً فيكونُ ما شاء اللهُ أن يكونَ، ثم يَرْفَعُها اللهُ

"Kisha utakuwepo utawala wa kiimla, na utakuwepo kwa muda apendao Mwenyezi Mungu uwepo kisha atauondoa anapotaka kuuondoa." (Ahmad)

Je, hatujauona vya kutosha utawala huu wa kiimla?

Je, wakati haujawadia sasa kwetu kusimamisha tena Khilafah?

Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) amesema:

ثم تكونُ خلافةً على مِنهاجِ نُبُوَّةٍ

"Kisha itakuwepo Khilafah kwa Njia ya Utume." [Ahmad]

#أقيموا_الخلافة

#Time4Khilafah

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

Jumamosi, 19 Jumada al-Akhir 1443 H - 22 Januari 2022 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu