Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Wilayah Pakistan: Unganisheni Ardhi za Waislamu!

Ardhi zote za Waislamu ziko chini ya ufaradhi wa kutawaliwa kwa Uislamu, kupitia Khilafah. Kama vile Swalah, hatuna mfano mwengine wa kuuiga, isipokuwa ule wa Mtume ﷺ. Khulafaa Rashidun (ra) walitawala kwa Uislamu kwa mujibu wa njia yake ﷺ, na sisi pia ni lazima. Kwa sababu tu hukm ya Uislamu ilitekelezwa vibaya, haimaanishi kuwa imefutwa. Badala yake, lazima iregeshwe kwa sura na umbo lake la asili. Iwapo baadhi ya watu wa utawala hapo awali walitumia madaraka vibaya, hii haiziondoi Ardhi za Kiislamu katika wajibu wake wa kuishi kwa hukmu za Mwenyezi Mungu ﷻ. Shariah ya kipenzi chetu Mtume Muhammad ﷺ inathibitisha kwamba lazima kuwe na mamlaka, inayotawala kwa Uislamu. Sera ya Mtume wa Mwisho ﷺ imethibitisha kwamba aliamrishwa na Mwenyezi Mungu ﷻ kutafuta nguvu na mamlaka, hadi mwishowe Mwenyezi Mungu ﷻ akamruzuku Nusra mjini al-Madinah al-Munawwarah. Baada ya Kiapo cha Pili cha Aqabah, yeye ﷺ alitawala kwa Uislamu kivitendo.

#Time4Khilafah

Jumapili, 07 Rajab-ul Muharram 1444 H - 29 Januari 2023 M

Fuatilia na Usambaze Alama Ishara za Kampeni:

#Time4Khilafah

#EstablishKhilafah

#ReturnTheKhilafah

#TurudisheniKhilafah

#KhilafahBringsRealChange

#بالخلافة_يحصل_التغيير_الحقيقي

أقيموا_الخلافة#

كيف_تقام_الخلافة#

#YenidenHilafet

 #HakikiDeğişimHilafetle

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu