Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Enyi Wanajeshi wa Pakistan! Kutochukua Hatua Kwenu Kumewafanya Waislamu kuwa Shabaha ya Makafiri!

Kwa hivyo, Enyi Wanajeshi wa Pakistan! Kutochukua hatua kwenu kumewafanya Waislamu kuwa shabaha ya makafiri. Kutochukua hatua kwenu kunakaribisha ghadhabu ya Mwenyezi Mungu, ambayo hapana pa kuepukana nayo. Kwa kushirikiana na watawala vibaraka, Magharibi imekufungeni ndani ya mipaka ya kitaifa. Imeyafanya majeshi kuwa walinzi tu wa vibaraka wa wakoloni katika ardhi za Waislamu. Imeyashirikisha majeshi ya Waislamu katika vita na Waislamu. Vibaraka wa wakoloni wanayaunguza majeshi katika vita vya Fitna baina ya Waislamu, huku watu waoga zaidi kuliko watu wote, Mayahudi, wakikiuka damu na heshima ya kaka na dada zetu. Lazima muchukue hatua mara moja. Lazima muwaondoe watawala hawa wahalifu. Ni lazima mutoe Ba’yah ya Nusrah kwa uongozi wa dhati wa Hizb ut Tahrir kwa ajili ya kusimamisha Khilafah kwa Njia ya Utume. InshaaAllah, itakuwa ni Amiri wa Hizb ut Tahrir, Sheikh Ata bin Khalil Abu ar-Rashta, ambaye atakukusanyeni katika Jihad katika njia ya Mwenyezi Mungu ﷻ. Khalifa Rashid atawawajibisha Mayahudi kwa uovu wao nchini Syria, Lebanon, Yemen, Iran, na Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina. Ni Khilafah Rashida ndiyo itakayounganisha Ummah mzima wa Kiislamu tena kama dola moja yenye nguvu. Kwa hivyo, Enyi Vikosi vya Wanajeshi wa Pakistan, jitokezeni.

Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Pakistan

Ijumaa, 27 Muharram Tukufu 1446 H sawia na 02 Agosti 2024 M

Kusoma Taarifa kamili kwa Vyombo vya Habari Bonyeza hapa

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu