Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina): Visimamo vya Halaiki Kumnusuru Mtume Mtukufu (saw)

Hizb ut-Tahrir katika Ardhi iliyobarikiwa (Palestina) inaandaa msururu wa visimamo vya halaiki kumnusuru Mtume Mtukufu (saw), na kupinga matusi ya makafiri wa kikoloni, chini ya kauli mbiu:

"Kwa Khilafah na Jihad katika Njia ya Mwenyezi Mungu,
Tutamnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu na tutaukomboa Msikiti wa Al-Aqsa
"

Jumamosi, 14 Rabi' ul-Awwal 1442 H sawia na 31 Oktoba 2020 M

Ili kusoma toleo lililotolewa na
Hizb ut-Tahrir katika Ardhi iliyobarikiwa (Palestina)
kwa anwani:

Kwa Khilafah na Jihad katika Njia ya Mwenyezi Mungu,
Tutamnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na Tutaukomboa Msikiti wa Al-Aqsa!"

Ijumaa, Rabi` Al-Awwal 13, 1442 H sawia na Oktoba 30, 2020 M

Bonyeza Hapa

Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) inaandaa Amali za Kubwa za Halaiki

Ili Kuyarudi Matusi ya Macron na Magharibi dhidi ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)

Hizb ut Tahrir katika Ardhi iliyobarikiwa ya Palestina, katika siku mbili zilizopita, aliandaa maandamano makubwa katika Ukingo wa Magharibi, Ukanda wa Gaza na Msikiti wa Al-Aqsa kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw), na kwa kuyarudi makosa maovu ya Magharibi na Macron wa Ufaransa.

Siku ya Ijumaa, Hizb iligawanya toleo kwa watu katika Ukanda wa Gaza kwa wingi, kwa watu binafsi, taasisi, na katika barabara na maduka, yenye anwani ambayo ni sawa na kauli mbiu ambayo chama kinaibeba katika amali zake zote, ambayo ni: "Kwa Khilafah na Jihad kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Tutamnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na tutaukomboa Msikiti wa Al-Aqsa."

Jana, baada ya swala ya Ijumaa, chama hiki kiliandaa kisimamo kikubwa katika viwanja vya Msikiti wa Al-Aqsa, na maelfu walikusanyika, wakipeperusha mabango (Rayaat) na bendera (Uqaab), wakiimba miito ya kukemea matusi hayo na kuyataka majeshi kusonga na kuyarudi matusi hayo na kuukomboa Msikiti wa Al-Aqsa, na hotuba yenye hamasa ilitolewa katika umati uliobeba ujumbe kadha wa kadha.

Leo, chama hicho kimeandaa mikesha mitatu mfululizo katika miji ya Ukingo wa Magharibi. Wa kwanza ulikuwa katikati mwa jiji la Tulkarm, kisha punde tu baadaye ukaja mwingine katika jiji la Ramallah kwenye mzunguko wa Manara, kisha maandamano ya tatu yalikuwa katika jiji la Hebron kwenye mzunguko wa Ibn Rushd.

Mjumbe wa Afisi ya Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

katika Ardhi iliyobarikiwa - Palestina

Wito wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa kutoka Msikiti wa Al-Aqsa

Kwa anwani:

Kwa Khilafah na Jihad katika Njia ya Mwenyezi Mungu,
Tunamnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na tunaukomboa Msikiti wa Al-Aqsa!"

Uliotolewa na Sheikh Nidhal Siyyam (Abu Ibrahim)

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Bait Al-Maqdis

Ijumaa, 13 Rabi Al Awwal 1442 H - 30 Oktoba 2020 M

Wanawake wa Ardhi Iliyobarikiwa washiriki katika kisimamo cha kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) kilichoitishwa na Hizb ut Tahrir

Idadi kubwa ya wanawake wa Ardhi iliyobarikiwa ya Palestina ilishiriki katika kisimamo kikubwa cha halaiki ambacho Hizb ut-Tahrir alikiitisha ili kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu, na kupinga matusi ya wenye chuki .. na hiyo ni katika amali zake ambazo inaziandaa chini ya kaulimbiu "Kwa Khilafah na Jihad katika Njia ya Mwenyezi Mungu, Tunamnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na tunaukomboa Msikiti wa Al-Aqsa!"

Jumamosi, 14 Rabi Al Awwal 1442 H - 31 Oktoba 2020 M

Mjumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)


Kisimamo katikati ya mji wa Tulkarm cha kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)

Jumamosi, 14 Rabi Al Awwal 1442 H - 31 Oktoba 2020 M


Kisimamo katikati ya mji wa Hebron (Al-Khalil) cha kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)

Jumamosi, 14 Rabi Al Awwal 1442 H - 31 Oktoba 2020 M


Ualishi wa Ustadh Alaa Abu Swaleh

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Ualishi wa Dkt. Ibrahim Al-Tamimi

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 10 Novemba 2020 11:42

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu