Jumatano, 16 Safar 1446 | 2024/08/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Ushiriki wa Hizb ut Tahrir/Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) katika amali za kampeni ya kilimwengu iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir yenye kichwa “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!”kuwanusuru ndugu na dada zetu wafungwa wa kisiasa kwenye magereza maovu ya Uzbekistan kwa sababu tu wanasema [Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu].

Ijumaa, 13 Muharram 1446 H sawia na 19 Julai 2024 M

Kalima ya Kitengo cha Wanawake katika Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kama sehemu ya amali za kampeni ya kilimwengu, kuwanusuru wafungwa wa dhamiri nchini Uzbekistan

kwa kichwa “Umma wa Kiislamu ni kama mwili mmoja na msiba wake ni mmoja”

Jumamosi, 14 Muharram Tukufu 1446 H sawia na 20 Julai 2024 M

Kalima ya Kitengo cha Wanawake katika Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kama sehemu ya amali za kampeni ya kilimwengu, kuwanusuru wafungwa wa dhamiri nchini Uzbekistan

kwa kichwa “"Uzbekistan ni nchi iliyozaa viongozi na wanazuoni!

Jumapili, 15 Muharram Tukufu 1446 H sawia na 21 Julai 2024 M

Kalima ya Kitengo cha Wanawake katika Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Kama sehemu ya amali za kampeni ya kilimwengu, kuwanusuru wafungwa wa dhamiri nchini Uzbekistan

kwa kichwa “Mazimwi Wasingeweza Kuwashambulia Waislamu wa Uzbekistan kwa Jumla na Mashababu wa Hizb ut Tahrir hasa lau kama Wangekuwa na Dola yao!

Jumatatu, 16 Muharram Tukufu 1446 H sawia na 22 Julai 2024 M

Alama Ishara za Kampeni

#صرخة_من_أوزبيكستان

#PleaFromUzbekistan

#ЎЗБЕКИСТОНДАН_ФАРЁД

Kwa maelezo zaidi, tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

Ukurasa wa X wa Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu