Alhamisi, 23 Rajab 1446 | 2025/01/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir /Ardhi ya Baraka Palestina:

Hizb ut Tahrir Iliandaa Maandamano Makubwa katika miji ya Ramallah na Jenin Kupinga Mpango wa Trump na Kuandaa Majeshi ya Waislamu

Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu ya Palestina iliandaa maandamano makubwa katika miji ya Ramallah na Jenin siku ya Jumamosi, 15 Februari, 2020 kupinga mpango wa Trump na suluhisho la kikoloni.

Maandamano yalikuwa na mwito kwamba Mpango wa Trump utafutiliwa mbali na Khilafah na Majeshi ya Waislamu. Maelfu ya wafuasi walikusanyika katika eneo la Manarah pia katika jiji la Jenin ambapo bendera ya Raya ilipeperushwa na miito ambayo iliushutumu mpango wa Trump. Maafisa wa usalama wa Mamlaka ya Palestina walifyatua mabomu ya gesi; na kunyunyizia pilipili katika umati wa watu ili kuvuruga maandamano katika jiji la Jenin. Hotuba zilithibitisha kwamba Palestina ni ardhi halisi ya Kiislamu.

Hizb ut Tahrir / Ardhi ya Baraka Palestina

 -Video Kamili ya Maandamano mjini Ramallah-

-Video kamili ya Maandamano ya mjini Jenin-

Maandishi ya Hotuba Zilizo Wasilishwa katika Maandamano ya Ramallah na Jenin

بسم الله الرحمن الرحيم

Ardhi Tukufu ya Palestina itakombolewa na majeshi ya Mujahidina katika Njia ya Mwenyezi Mungu

Sio kwa Baraza la Usalama na Kufedheheshwa na Wakoloni

(Imetafsiriwa)

Sifa njema zote anastahiki Mwenyezi Mungu (swt) anayesema:

[فَإِذَا جَاء وَعْدُ الآخِرَةِ لِيَسُوؤُواْ وُجُوهَكُمْ وَلِيَدْخُلُواْ الْمَسْجِدَ كَمَا دَخَلُوهُ أَوَّلَ مَرَّةٍ وَلِيُتَبِّرُواْ مَا عَلَوْاْ تَتْبِيراً]

“Basi ikifika ahadi ya mwisho ili waziharibu nyuso zenu, na waingie Msikitini kama walivyo ingia mara ya kwanza, na waharibu kila walicho kiteka kwa uharibifu mkubwa.” [Al-Isra’:7]

Na rehema na Amani zimuendee Imamu wa Mitume (saw) aliyesema:

«لَا تَقُومُ السَّاعَةُ حَتَّى يُقَاتِلَ الْمُسْلِمُونَ الْيَهُودَ، فَيَقْتُلُهُمْ الْمُسْلِمُونَ، حَتَّى يَخْتَبِئَ الْيَهُودِيُّ مِنْ وَرَاءِ الْحَجَرِ وَالشَّجَرِ، فَيَقُولُ الْحَجَرُ أَوْ الشَّجَرُ: يَا مُسْلِمُ يَا عَبْدَ اللَّهِ هَذَا يَهُودِيٌّ خَلْفِي، فَتَعَالَ فَاقْتُلْهُ إِلَّا الْغَرْقَدَ، فَإِنَّهُ مِنْ شَجَرِ الْيَهُودِ»

“Haita timia saa ya mwisho ila mpaka Waislamu wapigane dhidi ya Mayahudi na Waislamu watawaua mpaka Mayahudi watajificha nyuma ya jiwe au mti na jiwe au mti utasema: Muislamu, au Mja wa Mwenyezi Mungu, nyuma yangu kuna Myahudi; njoo umuuwe; lakini mti Gharqad hautasema, kwa kuwa ni mti wa Mayahudi.” Rehema na amani zimuendee yeye, familia yake na maswahaba zake.

Kwa hiyo, Enyi Mkusanyiko Uliobarikiwa, kwa Uwezo wa Mwenyezi Mungu (swt)

Tumekusanyika leo kutamka kwa sauti kubwa na kwa uwazi mbele ya nyuso za wakandamizaji, madikteta na wakoloni, kwamba Palestina ni ardhi halisi ya Kiislamu, ni yetu na wala si ya yeyote mwingine, na kwamba Mpango wa Trump na mikakati yote ya usaliti na kujisalimisha na makubaliano ya kiudhalilishaji na ya aibu yapo chini ya miguu ya Waumini na Mujahidina kwa kutaka Radhi za Mwenyezi Mungu (swt).

Palestina ni ardhi ambayo Mwenyezi Mungu ameibariki kwa aya na maneno Yake,

[سُبْحَانَ الَّذِي أَسْرَىٰ بِعَبْدِهِ لَيْلاً مِّنَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ إِلَى الْمَسْجِدِ الْأَقْصَى الَّذِي بَارَكْنَا حَوْلَهُ ]

 “SUBHANA, Ametakasika aliye mchukua mja wake usiku mmoja kutoka Msikiti Mtukufu mpaka Msikiti wa Mbali, ambao tumevibariki vilivyo uzunguka, ili tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia na Mwenye kuona.” [Al-Isra’: 1]

Na udongo wake ulisafishwa kwa damu ya maelfu ya mashahid mashuhuri katika historia yote ya Ummah, tangu Al-Faruq Omar alipoifungua, hadi askari wa Kiislamu wa mwisho akatoka ndani yake kabla ya watawala wa aibu na madhalili kuikabidhi kwa magenge ya Mayahudi, na hadi leo hii wakati Wapalestina, watu wasio na ulinzi wowote, wanapo wawakilisha maelfu ya mashahidi, waliojeruhiwa na wafungwa, wanawake, watoto, wazee na vijana.

Kitambulisho cha Kiislamu cha Palestina na udongo wake safi kamwe hautachafuliwa na mikono ya walanguzi au wahaini. Waislamu na watu wa Palestina wanajua kwa hakika kwamba ardhi hii ni kwa ajili yao na wala sio ya watu wengine, kwa muongozo wa Mwenyezi Mungu (swt) na Mjumbe wake (saw), na hatima ya uvamizi huu itakuwa kuondolewa kwao na kwamba mwisho utakuwa wa wachamungu. Palestina itakombolewa itakuwa makaazi ya Waislamu na mji mkuu wa Khilafah Rashidah ya pili ambayo inakuja hivi karibuni, Mwenyezi Mungu (swt) akipenda, kwa hivyo Waislamu na watu wa Palestina wautizame mpango wa Trump kuwa si lolote isipokuwa kama wino kwenye karatasi, na kama maamuzi mapya ya wakoloni ambayo hayatotofautiani na mtangulizi wake. Mpango wa Trump haukuwa tukio la ghafla kwa watu wa Palestina ... bali ni muendelezo wa Mkataba wa Oslo, na kufuata makubaliano ya Camp David na Makubaliano ya Wadi Araba.

Watu wa Palestina hawatofautishi kati ya kuiachia Haifa, Akka (Acre), Al-Quds (Jerusalem) na Al-Khalil (Hebroni), na hawaoni tofauti kati ya wale wanaokubali amani na uvamizi katika eneo lililoungana kijiografia au lililo ungwaungwa, na yaliyogawanywa, na hawaioni tofauti kati ya wale ambao wanaachia asilimia 78 ya Palestina au asilimia 82, kwa hivyo kuchia eneo la ukubwa japo wa dhiraa moja (urefu wa mkono) ni usaliti.

Ndio, Palestina yote ni ya Kiislamu, kutoka baharini hadi mto wake, na hakuna suluhisho kwake isipokuwa ukombozi wake kamili na kuondolewa kwa Mayahudi kutoka katika mizizi yake.

وَاقْتُلُوهُمْ حَيْثُ ثَقِفْتُمُوهُمْ وَأَخْرِجُوهُمْ مِنْ حَيْثُ أَخْرَجُوكُمَْ

“Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni” [Al-Baqarah: 191]

Ama kwa miradi ya kudhalilisha na kuishi katika hali duni sambamba na uvamizi, ni usaliti wa Mwenyezi Mungu (swt), Mjumbe wake na Waumini. Aina yoyote ya maisha na sifa zozote za hali duni na ikiwa ni katika mji mkuu katika Mashariki ya Al-Quds (Jerusalem) au katika Abu Dis na Al-Eizariya.

Ndio maana sote tumekusanyika leo kupaza sauti yetu kwa sauti kubwa, na kuielekeza kwa Ummah wa Kiislamu, Wanachuoni na majeshi yake, tunaililia na kutafuta ushindi kutoka kwa vikosi, ndege na vifaru, ili kuikomboa Ardhi ya Babaraka yote, kumalizika janga la Palestina na watu wake, na kuwakomesha wale ambao wanaiharibu, kuharibu mustakbali wake na mustakbali wa watu wake, na Waislamu kuiingia kama washindi walioshinda kama Omar Al-Farouq alivyoingia kwa mara ya kwanza.

Tumekusanyika leo kusema LA kwa mpango wa Trump, LA kwa suluhisho la serikali mbili, LA kwa miradi yote ya kujisalimisha, mazungumzo, na usaliti, na NDIO kwa kishindo cha ndege na tetemeko la ardhi la vifaru, NDIO ... tunataka chuma kishambulie chuma, tunataka askari kama wanajeshi wa Salahudin.

Miito: Wito wa Al-Aqsa, Enyi maafisa kutoka Jarkata hadi Rabat. Wito wa Al-Aqsa, Enyi maafisa kutoka Jarkata hadi Rabat. Inayaita majeshi ya ukombozi, Al-Aqsa inayaita majeshi ya ukombozi. Takbeer: Allahu Akbar. Takbeer: Allahu Akbar

Hivyo, Enyi Jeshi la Jordan, maafisa na viongozi wa Jeshi la Al-Karamah, njooni Palestina ili kuikomboa kutoka kwa wavamizi Mayahudi.

Na Nyie Jeshi la Iraq, wajukuu wa vita vya Jennin, jitokezeni mbele. Palestina inakuiteni kutaka uungaji mkono wenu. Na makaburi ya wazee wenu waliokufa mashahidi yapo hapa, yakikushuhudieni nyinyi katika mji huu.

Enyi jeshi la Misri, mashujaa wa kuvuka njia za majini katika Ramadhani, na kizazi cha Amr ibn al-'As, njooni Palestina, kwani Al-Aqsa inakulilieni. Rudieni zama zenu, muwe mstari wa mbele katika ukombozi na Jihad kwa ajili ya radhi za Mwenyezi Mungu (swt), kama vile mlivyokuwa zama za wapiganaji wa msalaba.

Enyi jeshi la Pakistan, simba wa milimani na munaoupenda Uislamu, njooni katika Ardhi ya Israa ya Mtume wenu (saw) na mji wa mwanzo wa Qibla mbili. Hamtamani mapaji ya nyuso zenu yasujudu hapa.

Enyi jeshi la Uturuki, enyi kizazi cha Sultan Muhammad al-Fatih na Abdul Hamid, njooni katika maeneo ya Msikiti Al-Aqsa, kwani umekusubirini sana ili uwaone.

Enyi jeshi la Algeria, munaopenda kufa mashahidi na Palestina, njooni kwa watu wenu hapa Palestina, kwani wanakulilieni.

Miito: Jitokezeni, jitokezeni Enyi askari…ifuteni Dola ya Mayahudi. Jitokezeni, jitokezeni askari…ifuteni Dola ya Mayahudi. Jitokezeni Enyi watu wa silaha…kwa ajili ya Al-Aqsa, yapasa roho zitumike. Takbeer: Allahu Akbar. Takbeer: Allahu Akbar.

Na Enyi Jeshi la Indonesia, Iran, Hijaz na nchi nyingine za Waislamu, hapa ni Al Quds (Jerusalem), hapa ndipo kuna Israa 'ya Mtume wenu (saw), hii ni miili ya mababu na mabibi zenu kutoka kwa masahaba wakubwa, hapa ndio ardhi yenu ya Baraka, kwa hivyo njooni muikomboe na muitakase.

Enyi majeshi ya Waislamu kwa ujumla, tunawalingania kwa Mwenyezi Mungu (swt) asema:

[يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا مَا لَكُمْ إِذَا قِيلَ لَكُمُ انْفِرُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ اثَّاقَلْتُمْ إِلَى الْأَرْضِ أَرَضِيتُمْ بِالْحَيَاةِ الدُّنْيَا مِنَ الْآخِرَةِ فَمَا مَتَاعُ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا فِي الْآخِرَةِ إِلَّا قَلِيلٌ * إِلَّا تَنْفِرُوا يُعَذِّبْكُمْ عَذَاباً أَلِيماً وَيَسْتَبْدِلْ قَوْماً غَيْرَكُمْ وَلَا تَضُرُّوهُ شَيْئاً وَاللَّهُ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ]

 “Enyi mlio amini! Mna nini mnapo ambiwa: Nendeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu, mnajitia uzito katika ardhi? Je, mmeridhia maisha ya dunia kuliko ya Akhera? Lakini starehe za maisha ya dunia kulinganisha na ya Akhera ni chache. Kama hamwendi atakuadhibuni adhabu chungu, na atawaleta watu wengine, wala nyinyi hamtamdhuru chochote. Na Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu.” [At-Taubah: 38-39]

Leo tumekusanyika ili kuhuisha nishati za wanachuoni wachajimungu ambao Mwenyezi Mungu (swt) amewapa amana ya kuihifadhi Dini Yake, na tunawaonya kwa kile ambacho Mwenyezi Mungu (swt) amewaonya kwacho, ili waweze kutekeleza yale ambayo Mwenyezi Mungu (swt) amewataka wayatekeleze, kuwaunganisha Waislamu katika kusimamisha Dini ya Mwenyezi Mungu (swt) katika dunia na kuifanya Jihad kwa kutaka radhi za Mwenyezi Mungu (swt). Anasema Mwenyezi Mungu (swt):

وَإِذْ أَخَذَ اللَّهُ مِيثَاقَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ لَتُبَيِّنُنَّهُ لِلنَّاسِ وَلاَ تَكْتُمُونَهُ فَنَبَذُوهُ وَرَاءَ ظُهُورِهِمْ وَاشْتَرَوْا بِهِ ثَمَنًا قَلِيلاً فَبِئْسَ مَا يَشْتَرُونَ

“Na pale Mwenyezi Mungu alipo fungamana na walio pewa Kitabu kuwa: Lazima mtawabainishia watu, wala hamtokificha, walikitupa nyuma ya migongo yao, na wakanunua kwacho thamani duni. Basi ni kiovu hicho walicho nunua.” [Al-i-Imran:187]

Enyi wanachuoni wa Al-Azhar, Hijaz, Zaytuna, na wanachuoni wa Kiislamu kila mahali: Je! Hakuna kati yenu, Izz ad-Din Ibn Abdul Salam. Enyi ambao mnawafundisha watu kwamba hofu ni ya Mwenyezi Mungu (swt) peke yake, na kwamba hakuna utiifu kwa kiumbe katika kumuasi Mwenyezi Mungu (swt), na kwamba kushindwa kuunga mkono Dini ya Al Mwenyezi Mungu (swt) na udhaifu kutoka kwa Waislamu ni dhambi kubwa, na kwamba Jihad katika njia ya Mwenyezi Mungu (swt) ya kuikomboa Al-Aqsa ni Faradhi, na ni ya thamani kubwa na thawabu. Kwa hivyo kwa nini hamzungumzi? Kwa nini hamuudhihirishi ukweli? Je! Mnaogopa magereza ya madikteta na watawala waovu?

فَاللَّهُ أَحَقُّ أَنْ تَخْشَوْهُ إِنْ كُنتُمْ مُؤْمِنِينَ

“Basi Mwenyezi Mungu anastahiki zaidi Mumwogope, ikiwa nyinyi ni Waumini”. [At-Taubah:13]

Kuweni safu za mbele katika kuwaongoza Ummah kuungana na kukusanya neno lake la kusimamisha Dini ya Mwenyezi Mungu (swt) duniani na Jihad kwa radhi za Mwenyezi Mungu (swt) ... Hii ndio dhamira yenu ambayo mnaweza kujiokoa na kuuokoa Ummah wenu kwa dhamira hii, na kuweni wa kweli kwa Mwenyezi Mungu (swt), Atakupa mkweli na hatosahau kukulipa malipo mema kwa amali yako.

 Enyi Makundi na Mashirika:

Tunakulinganieni kwa kauli ya Mwenyezi Mungu (swt) aliposema:

أَلَمْ يَأْنِ لِلَّذِينَ آمَنُوا أَنْ تَخْشَعَ قُلُوبُهُمْ لِذِكْرِ اللَّهِ وَمَا نَزَلَ مِنْ الْحَقِّ وَلاَ يَكُونُوا كَالَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ مِنْ قَبْلُ فَطَالَ عَلَيْهِمُ الأَمَدُ فَقَسَتْ قُلُوبُهُمْ وَكَثِيرٌ مِنْهُمْ فَاسِقُونَ

“Je! Wakati haujafika bado kwa walio amini zikanyenyekea nyoyo zao kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu na haki iliyo teremka? Wala wasiwe kama walio pewa Kitabu kabla yao, muda wao ukawa mrefu, kwa hivyo nyoyo zao zikawa ngumu, na wengi wao wakawa wapotovu”. [Al-Hadid: 16]

Je! Huu sio wakati wenu kuona ukweli na kujifunza kwamba njia ya ukombozi ni Dini yenu, Uislamu wenu na Ummah wenu, na sio Baraza la Usalama na Umoja wa Mataifa?!

Je! Huu sio wakati wa nyinyi kubaini kuwa Amerika, Urusi, Uingereza, Ufaransa na Mayahudi ni washirika wenyewe kwa wenyewe, na ni maadui wa Uislamu na Ummah wa Kislamu?

Je! Huu sio wakati wenu wa kufuata maneno ya Mwenyezi Mungu (swt):

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لاَ تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَى أَوْلِيَاءَ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ وَمَنْ يَتَوَلَّهُمْ مِنْكُمْ فَإِنَّهُ مِنْهُمْ إِنَّ اللَّهَ لاَ يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ فَتَرَى الَّذِينَ فِي قُلُوبِهِمْ مَرَضٌ يُسَارِعُونَ فِيهِم يَقُولُونَ نَخْشَى أَنْ تُصِيبَنَا دَائِرَةٌ فَعَسَى اللَّهُ أَنْ يَأْتِيَ بِالْفَتْحِ أَوْ أَمْرٍ مِنْ عِنْدِهِ فَيُصْبِحُوا عَلَى مَا أَسَرُّوا فِي أَنفُسِهِمْ نَادِمِينَ

“Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. Utawaona wale wenye maradhi nyoyoni mwao wanakimbilia kwao wakisema: Tunakhofu yasitusibu mabadiliko. Huenda Mwenyezi Mungu akaleta ushindi au jambo jingine litokalo kwake wakawa wenye kujuta kwa waliyo yaficha katika nafsi zao.” [Al-Ma’ida: 51-52]

Je! Huu sio wakati wenu wa kuwakataa wale ambao wana maradhi katika mioyo yao, ambao wanakimbilia nchi za kikafiri, Baraza la Usalama na mashirika ya kimataifa, wakitafuta fahari kutoka kwao!

[ بَشِّرِ الْمُنَافِقِينَ بِأَنَّ لَهُمْ عَذَاباً أَلِيماً * الَّذِينَ يَتَّخِذُونَ الْكَافِرِينَ أَوْلِيَاءَ مِنْ دُونِ الْمُؤْمِنِينَ أَيَبْتَغُونَ عِنْدَهُمُ الْعِزَّةَ فَإِنَّ الْعِزَّةَ لِلَّهِ جَمِيعاً]

“Wabashirie wanaafiki kwamba watapata adhabu chungu, Wale ambao huwafanya makafiri kuwa ndio marafiki badala ya Waumini. Je! Wanataka wapate kwao utukufu? Basi hakika utukufu wote ni wa Mwenyezi Mungu.” [An-Nisa’: 138-139]

Je! Huu sio wakati wenu wa kubaini usaliti wa PLO na watawala wa Misri, Jordan, Qatar, Uturuki, Iran na maeneo mengine yote katika ulimwengu wa Kiislamu, na njama zao dhidi ya swala la Palestina ... kwani sio walinzi wa kweli na walinzi wa jamii ya Kiyahudi?!!

Hakika, naapa kwa Mwenyezi Mungu (swt) ni wakati wenu wa kujiimarisha kwa kamba imara ya Mwenyezi Mungu (swt) na kuwashinda maadui wote wa Uislamu, na kuiunga mkono Dini yenu na kuelekea Ummah wenu, na kuutaka uunngaji mkono wao katika kusimamisha Khilafah na Jihad katika njia ya Mwenyezi Mungu (swt) kuikomboa Ardhi ya Baraka yote.

Enyi Waislamu:

Palestina ni ardhi yenu, na ni Israa 'ya Mtume wako (saw), heshima ya ukombozi wake itapatikana tu kupitia wanao muabudu Mwenyezi Mungu (swt) chini ya bendera ya kiongozi kama Salahudin. Haitapatikana kupitia watawala watumwa ambao waliouacha Uislamu na kushirikiana na makafir. Basi ng’oeni enzi za wasaliti kwa Mwenyezi Mungu (swt) na Mjumbe wake. Na uwaunge mkono wafanyao kazi wakitaka kusimamisha Khilafah itakayoondoa vizuizi vyote mbele ya harakati zenu kuelekea kupata utukufu na heshima yenu.

Enyi Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa:

Sasa umeshajifunza hatima ya kushikamana na maazimio ya kimataifa na mipango ya kikoloni, na sasa mnaona kwa macho yenu wenyewe kuwa hakuna kuongoka kwenu isipokuwa kwa kuambatana na Dini yenu na kuihifadhi hii Ardhi ya Baraka. Kuweni na subra na vumilieni, bakini mahali penu na mumwogope Mwenyezi Mungu (swt), ili mpate kufanikiwa, na muwe na umoja mbele ya mipango yote inayotoa uhalali kwa kikundi cha waporaji; Mpango wa Trump, kwa suluhisho la serikali mbili au suluhisho la serikali moja. Msiidhalilishe Dini yenu, na msiridhike na kutoa inchi moja ya ardhi yenu na mfahamu kwamba ushindi upo pamoja na wenye kusubiri. Basi muungeni mkono Mwenyezi Mungu (swt) Naye Mwenyezi Mungu (swt) Atakusaidieni na kuimarisha miguu yenu, na mumtegemee Muweza na Mwenye nguvu Mwenyezi Mungu (swt), na muwe na matumaini kwa Ummah wenu, ummah bora kuwahi kuletwa kwa watu, kwani ni taifa ambalo amelichagua Mwenyezi Mungu (swt): kwa Dini Yake na Wahyi Wake na kama mashahidi kwa wanadamu. Kinachousibu Ummah hivi leo, ni kile ambacho kitachochea fahari yake, na kwa msaada wa Mwenyezi Mungu (swt) mtawafukuza wote wanaomsaliti Mwenyezi Mungu (swt) na Mjumbe wake, na Ummah utaungana kwa Kitabu cha Mwenyezi Mungu (swt) na Sunnah za Mtume (saw). ... Na hivi karibuni, Mwenyezi Mungu akipenda, tutaungana na Waislamu katika Msikiti wa Al-Aqsa, tukiitangaza Al Quds kama makaazi ya Uislamu…

ذَلِكَ بِأَنَّ اللَّهَ مَوْلَى الَّذِينَ آمَنُوا وَأَنَّ الْكَافِرِينَ لَا مَوْلَى لَهُمْ

 “Hayo ni kwa sababu Mwenyezi Mungu ni Mlinzi wa walio amini. Na makafiri hawana mlinzi.” [Muhammad: 11]

Kwa kumalizia, Enyi Mkusanyiko Uliobarikiwa... inueni mikono yenu, kumuomba Mwenyezi Mungu (swt)

Ewe Mwenyezi Mungu, Ewe Mtoshelezaji wa mbinguni na ardhini, Mwenye kufaidisha duniani na Akhera, tunakuomba rahema kutoka Kwako, iongoze mioyo yetu na mioyo ya Waislamu, ziunganishe safu za Waislamu kupitia kwayo, na liunganishe neno la Waislamu kupitia kwayo, na yaimarishe maazimio ya Waislamu kuinusuru Dini Yako na kutawalisha Shari’ah Zako.

Ewe Mwenyezi Mungu, tumejivua kutokana na makafiri, na tumejivua kutokana na wanafiki na wasaliti, na tumejivua kutokana na watawala wakandamizaji katika nchi za Kiislamu.

Ewe Mwenyezi Mungu, kwa rehema Zako, tunakuomba msaada ... Ewe Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu, kwa huruma Yako tunakuomba msaada ... Ewe Mwenyezi Mungu, kwa huruma Yako, tunakuomba msaada ... lifanye jambo hili zuri liwafikie Waislamu na lifungue mioyo yao (kulikubali), na ifanye mioyo yao ikubali kuunga mkono Dini Yako, na utujaalie utkufu pamoja nao, kama Mujahideen katika njia yako ya kukomboa Msikiti wa Al-Aqsa, Israa' ya Mjumbe wako Mtukufu (saw).

Yaa, Allah, tunaomba kutoka kwako Khilafah kupitia njia ya Utume ili kuisimamisha Dini na kubeba Uislamu kama ujumbe wa wema, mwongozo na rehema kwa walimwengu wote, na utujaalie kuwa kutoka kwa wale wanaoshuhudia ushindi Wako kwa waumini. ... na amani na baraka ziwe juu ya Mjumbe aliyetumwa kama rehema kwa walimwengu, na sifa njema zote anastahiki Mwenyezi Mungu (swt), Mola wa walimwengu wote.

21 Jumada II 1441 H  sawia na 15/2/2020 M

 

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoAlhamisi, 27 Februari 2020 17:48

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu