Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Sudan: Warsha kuhusu Mdororo wa Kiuchumi nchini Sudan, Vyanzo na Suluhisho

Waungaji mkono chama cha Hizb ut Tahrir walikusanyika katika Afisi yake iliyopo Al-Dukhaniyat katika kuunga mkono kuzikataa sera za IMF na kujisalimisha kwa nchi kwa ahadi za mkoloni. Hizb ut Tahrir ilifanya maandamano dhidi msimamo wa serikali.  Warsha hii ya kisiasa ilifanyika mnamo tarehe 14, Februari, 2020 M kwa jina la, “Mdoror wa Kiuchumi nchini Sudan, Vyanzo na Suluhisho” ambapo mada mbalimbali ziliwasilishwa.

Ujumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan

 -Video kamili ya Warsha-

[Bofya Picha utizame Video]

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 16 Mei 2020 07:04

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu