Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Uswidi:

Kisimamo cha Kuwanusuru na Kuwaombea Nusra Waislamu nchini Palestina!

Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na Mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi, ambalo linaendelea na kuzidi na hujuma yake inayoendelea dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji na ulipuaji wake wa mabomu ambao umeendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut-Tahrir / Uswidi inaandaa kisimamo kufichua unafiki wa Magharibi na uungaji mkono wake kwa umbile la Kiyahudi katika jinai zake zinazoendelea dhidi ya Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), ambapo idadi ya mashahidi katika Ukanda wa Gaza ilifikia zaidi ya 1,900 na zaidi ya 8,000 walijeruhiwa kutokana na kurusha mabomu zaidi ya 6,000 yenye uzito wa tani 4,000.

Basi kuweni pamoja nasi na mushiriki nasi ujira, na Mwenyezi Mungu Mtukufu atatunusuru, hata kama ni baada ya muda.

Jumapili, 30 Rabi’ al-Awwal 1445 H sawia na 15 Oktoba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#ArmiesToAqsa

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Sweden:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / sweden

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu