Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Ubelgiji:

Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Ushiriki wa Hizb ut Tahrir/Uswidi katika amali za kampeni ya kilimwengu iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir yenye kichwa “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!” kuwanusuru ndugu na dada zetu wafungwa wa kisiasa kwenye magereza maovu ya Uzbekistan kwa sababu tu wanasema [Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu].

Ijumaa, 06 Muharram 1446 H sawia na 12 Julai 2024 M

[Kikao Mbele ya Ubalozi wa Uzbekistan jijini Stockholm - Uswidi]

Ijumaa, 13 Muharram 1446 H sawia na 19 Julai 2024 M

[Ujumbe wa Dharura kutoka kwa wabebaji Da'wah wakati wa kikao mbele ya Ubalozi wa Uzbekistan jijini Stockholm, Uswidi]

Ijumaa, 13 Muharram 1446 H sawia na 19 Julai 2024 M

- Kazi ya Hizb ut Tahrir ni ya Kisiasa na Kifikra -

Mzungumzaji: Ustadh Abdul Rahman

- Hizb ut Tahrir ni Chama cha Kisiasa -

Mzungumzaji: Ustadh Baraa

- Komesheni Kifungo cha Dhulma -

Mzungumzaji: Ustadh Eldar

- Waachilieni Waislamu wasio na hatia waliofungwa kwa kusema tu [Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu] -

Mzungumzaji: Ustadh Islam

- Serikali ya Uzbekistan inawafunga tena Waislamu waliotumikia vifungo vyao kwa Madai ya Uongo -

Mzungumzaji: Ustadh Khairi

- Tuhuma zinazoelekezwa dhidi ya Hizb ut Tahrir si chochote ila ni Uongo na Uzushi -

Mzungumzaji: Ustadh Mahmoud

- Serikali ya sasa ya Uzbekistan Yafuata Nyayo za Karimov -

Mzungumzaji: Ustadh Mubin

- Waacheni Huru Wanachama wa Hizb ut Tahrir -

Mzungumzaji: Ustadh Odelaka

- Waacheni Huru wale ambao kwamba Uhalifu wao Pekee ni Kusema Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu -

Mzungumzaji: Ndugu Rabee

- Kufungwa kwa wanachama wa Hizb ut-Tahrir ni ushahidi wa kurejea kwa utawala wa Karimov -

Mzungumzaji: Ustadh Sayed

- Waacheni Huru ndugu wacha Mungu ambao walilazimishwa chini ya mateso kukiri uhalifu wa kubuni -

Mzungumzaji: Ustadh Shuhrat

- Waacheni Huru ndugu wacha Mungu ambao Hawaitakii Nchi Yao isipokuwa Kheri -

Mzungumzaji: Ustadh Suhaib

- Ugaidi ni jambo Geni kwa Hizb ut Tahrir -

Mzungumzaji: Ustadh Yusuf

[Ripoti ya video]

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Uswidi ulikabidhi ubalozi wa Uzbek barua kutoka kwa Hizb kwa rais wa Uzbekistan kuhusu jinai za utawala wa Uzbekistan dhidi ya wafungwa wa kisiasa, wanaoongozwa na mashababu wa Hizb ut Tahrir.

Na sehemu ya amali za kisimamo kilichoandaliwa mbele ya ubalozi wa Uzbekistan jijini Stockholm

Ijumaa, 06 Muharram 1446 H sawia na 12 Julai 2024 M

Angazo la Picha la Sehemu ya Amali za Kisimamo Hicho

Alama Ishara za Kampeni

#صرخة_من_أوزبيكستان

#PleaFromUzbekistan

#ЎЗБЕКИСТОНДАН_ФАРЁД

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uswidi:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / sweden

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu