- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
DVD za Kampeni ya Wilayah ya Syria: “HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!”
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya kwa anwani:
Kampeni ya Wilayah ya Syria: “HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah!”
Zilizo andaliwa na Idara ya Makavazi na Machapisho ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir.
Ili kupakua DVD Hii:
Ili Kuzuru Ukurasa wa Kampeni:
Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 24 Novemba 2020 13:22