- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria
Maandamano ya Deir Hassan "Hakuna Mbadala katika Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Utawala wa Uislamu"
Katika kumbukumbu ya miaka kumi na moja ya Mapinduzi Matukufu, Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Deir Hassan viungani mwa Idlib, kwa anwani "Hakuna Mbadala katika Kuiangusha Serikali na Kusimamisha Utawala wa Uislamu!".
Ijumaa, 15 Sha'aban 1443 H – 18 Machi 2022 M
Kalima ya Ustadh Ahmed Abdel Wahab
Mkuu wa Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria
Wakati wa maandamano
Kalima ya Sheikh Ahmed Abdel Jowad
Mwanachama wa Hizb ut-Tahrir katika Wilayah Syria
Wakati wa maandamano
Kalima ya Sheikh Mahmoud Azizi (Abu Al-Fateh)
Wakati wa maandamano
Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria
Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria