- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Maandamano ndani ya Deir Hassan “Ndio kwa Maamuzi yetu na Kumsambratisha Mdhamini wenu!”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano ndani ya kijiji cha Deir Hassan ndani ya Idlib vijijini, kwa kichwa, “Ndio kwa maamuzi yetu na kumsambratisha mdhamini wenu!”
Ijumaa, 18 Rajab 1441 H sawia na Machi 13, 2020 M
Ahmad Abdul Wahhab
Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir in Wilayah Syria
Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 17 Machi 2020 08:26