Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:

“Kumbukumbu ya Hijra ya Mtume (saw)… Hadi Umma wa Kiislamu Utakapoanzisha tena Uongozi wa Dunia.”


Asubuhi ya Jumamosi, Julai 22, 2023 M, Hizb ut Tahrir/Wilayah Tunisia itafanya kongamano kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Hijra ya Mtume, kwa kichwa:

“Kumbukumbu ya Hijra ya Mtume (saw)… Hadi Umma wa Kiislamu Utakapoanzisha tena Uongozi wa Dunia.”

Litazungumzia hotuba kuu nne zitakazotolewa na:

Ustadh Ahmed Al-Soufi / Wilayah Lebanon

Ustadh Hajar Belhaj / Wilayah Tunisia

Ustadh Mundhir Abdullah / Denmark

Ustadh Mohamed Nasser Chouikha / Wilayah Tunisia

Na hiyo itakuwa saa nne na unusu asubuhi kwenye makao makuya semina - makutano ya barabara ya Soukra Ariana mji mkuu Tunis.

Jumamosi, 04 Muharram Al Haram 1445 H sawia na 22 Julai 2023 M

- Video za Ualishi wa Kongamano -

- Ualishi wa Kwanza -

- Ualishi wa Pili -

- Matangazo ya Moja kwa Moja ya Kongamano -

- Alama Ishara za Kongamano -

#أقيموا_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu