- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:
Matembezi ya Ukombozi: “Mapinduzi Yanaendelea Kujikomboa kutokana na Ukoloni na Kusimamisha Khilafah kwa Njia ya Utume.”
Matembezi ya 66 yalianzia mbele ya Msikiti wa Al-Fath katika mji mkuu wa Tunis, baada ya swala ya Ijumaa, mnamo tarehe 10 Januari 2025 yalioandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia kuwanusurur watu wa Palestina na Al-Aqsa iliyo mateka, na kichwa chake kilikuwa “Mapinduzi Yanaendelea Kujikomboa kutokana na Ukoloni na Kusimamisha Khilafah kwa Njia ya Utume”na matambezi haya yaliyohudhuriwa na umati mkubwa wa watu yalizunguka katika barabara kuu za mji mkuu zinazoelekea Barabara ya Al-Thawra, na matembezi hayo yalihitimishwa kwa kalima iliyotolewa na mmoja wa mashababu wa Hizb ut Tahrir Wilayah Tunisia.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aharakishe ushindi wetu kutoka kwa watu wenye nguvu na wachamungu wenye nguvu na ulizni, maafisa na jeshi, ili waweze kuinua bendera ya Uislamu na kusimamisha utawala wa Uislamu, Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.
Mjumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Tunisia
Ijumaa, 10 Rajab Tukufu 1446 H sawia na 10 Januari 2025 M
- Alama Ishara za Amali -
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia