Ijumaa, 24 Rajab 1446 | 2025/01/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Kuitaka Idhaa ya Mosaïque FM Haki ya Kumjibu Mwanahabari, Ziyad Kreishan

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia imeitaka idhaa ya Mosaïque FM haki ya kujibu taarifa za mwanahabari Ziyad Kreishan na ambaye amemtaja kila anaye tabanni fikra ya (halali na haramu) kuwa na msimamo mkali na hilo ni kupitia kipindi "Media Show" kwenye matangazo ya idhaa ya Mosaïque FM. Na Dkt. Lassad Al-Ajeili, Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Tunisia, alimpinga mwanahabari huyo, Ziyad Kreishan, kwa mdahalo wa hadharani kuhusu mradi wa hadhara ya Kiislamu kukabili fikra mamboleo ya kisekula inayomsifu kila anaye amini kwamba Uislamu ni nidhamu pana ya kimaisha kuwa na msimamo mkali.

Jumatano, 27 Ramadhan Iliyo Barikiwa 1441 H sawia na 20 Mei 2020 M

Kalima ya Dkt. Lassad Al-Ajeili

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Tunisia

Mbele ya Idhaa ya Mosaïque FM

Kalima ya Ustadh Khabib Karbaka

Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Tunisia

Mbele ya Idhaa ya Mosaïque FM

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoIjumaa, 22 Mei 2020 08:52

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu