Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Ukraine:

Nusra kwa Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!

Ushiriki wa Hizb ut Tahrir/Ukrainekatika amali za kampeni ya kilimwengu iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir yenye kichwa “Enyi Umma; Kilio Wanacholia Wafungwa wa Dhamiri nchini Uzbekistan!” kuwanusuru ndugu na dada zetu wafungwa wa kisiasa kwenye magereza maovu ya Uzbekistan kwa sababu tu wanasema [Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu].

Jumatano, 17 Muharram 1446 H sawia na 23 Julai 2024 M

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Ukraine ulikabidhi ubalozi wa Uzbekistan jijini Kiev Barua kutoka kwa Hizb kwa rais wa Uzbekistan kuhusu jinai za utawala wa Uzbekistan dhidi ya wafungwa wa kisiasa, wanaoongozwa na Mashababu wa Hizb ut Tahrir

 Jumatano, 17 Muharram 1446 H sawia na 23 Julai 2024 M

Alama Ishara za Kampeni

#صرخة_من_أوزبيكستان

#PleaFromUzbekistan

#ЎЗБЕКИСТОНДАН_ФАРЁД

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Ukraine:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Ukraine

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Ukraine

Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir / Ukraine

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Ukraine

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu