Alhamisi, 23 Rajab 1446 | 2025/01/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Amali “Wito kutoka Istanbul kwenda Misri: Fungueni Lango la Rafah!”

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha vifo na majeraha kwa wanaume na wa wanawake wa Kiislamu zaidi ya 100,000 hadi kufikia sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali ya kusoma taarifa kwa vyombo vya habari na maandamano ya kulaani mbele ya ubalozi wa Misri katika mji wa Istanbul kwa kichwa:

“Wito kutoka Istanbul kwenda Misri: Fungueni Lango la Rafah!”

Kuitaka serikali ya Misri kufungua lango la Rafah na kuwapa Waislamu waliozingirwa katika Ukanda wa Gaza na njia za maisha, wakati huo huo kuyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.

Jumapili, 01 Sha’aban 1445 H sawia na 11 Februari 2024 M

- Sehemu ya Amali Hizo katika Mji wa Istanbul -

 

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu