Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Dua ya Kunuti “Mikono Yaelekea Mbinguni na Majeshi Yaelekee Al-Aqsa!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi mitano, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 110,000, wanaume na wanawake hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali kubwa katika miji kumi ya Uturuki chini ya Kichwa:

“Mikono Yaelekea Mbinguni na Majeshi Yaelekee Al-Aqsa!”

Baada ya kuswali swala ya Taraweh, waumini walitoa kunuti katika miji ya Adana, Hatay, Mersin, Kahramanmaraş, Van, Bitlis, Batman, Duzce, Şanlıurfa na Gaziantep kwa ajili ya Gaza na kuyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutoka kwenye makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.

Jumapili, 14 Ramadhan 1445 H sawia na 24 Machi 2024 M

- Sehemu ya Visomo vya Dua za Kunuti kwa ajili ya Watu Wetu mjini Gaza -


- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu