Ijumaa, 20 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilaya Yemen:

Amali zilizoandaliwa wakati wa Kampeni ya Kiulimwengu, “Kufunguliwa kwa Kostantinopoli Bishara njema ikatimia…itafuatiwa na Bishara njema nyingine”!

Chini ya muongozo wa Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu (swt) Amuhifadhi, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ilizindua kampeni pana ya kiulimwengu katika tukio la kumbukumbu ya hijria ya Ufunguzi wa Kostantinopoli  (Kostantinopoli, mji wa mfalme Hirakila) ambao ulizingirwa mnamo 26 Rabii’ al-Awwal hadi 20 Jumadal al-Awwal 857 H ambayo ni sawia na 5 Aprili hadi tarehe 29 Mei 453 M ikiashiria kutimia kwa bishara ya hadithi tukufu ya Mtume (saw)

لَتُفْتَحَنَّ الْقُسْطَنْطِينِيَّةُ فَلَنِعْمَ الْأَمِيرُ أَمِيرُهَا وَلَنِعْمَ الْجَيْشُ ذَلِكَ الْجَيْشُ

Kwa yakini Mtaifungua Kostantinopoli, Amir bora ni Amir wake, na Jeshi bora ni Jeshi hilo.”

Hizb ut Tahrir / Wilaya Yemen nayo ilijitosa katika kampeni hii ya kiulimwengu. Sifa njema zote anastahiki Mwenyezi Mungu (swt).

Ijumaa 15, Jumadal al-Awwal 1441 H  -  10 Januari, 2020 M

-Darsa na Mhandisi Shafeeq Khamis-

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilaya Yemen

Kuadhimisha Kumbukumbu ya Kukombolewa Konstantinopoli

Jumatano 20, Jumada al-Awwal 1441 H  -  Tarehe 15, Januari 2020 M

-Darsa na Ustaadh Bilal Abu Nasser-

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilaya Yemen

Katika Kumbukumbu ya Kukombolewa Konstantinopoli

Jumatano 20, Jumada al-Awwal 1441 H  -  15, Januari 2020 M

-Darsa na Ustaadh Abdullah al-Qadi-

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir/ Wilaya Yemen

Katika Kumbukumbu ya Kukombolewa Konstantinopoli

Jumatano 20, Jumada al-Awwal 1441 H  - 15, Januari 2020 M

Alama Ishara za Kampeni

 #فتح_القسطنطينية

#القسطنطينية

#İstanbulunFethi
#istanbul

#ConquestofIstanbul
#Constantinople

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatano, 15 Aprili 2020 18:21

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu