Ziara ya Waziri wa Kigeni wa Zamani wa Amerika Tillerson Barani Afrika ililenga Umwagaji Damu Zaidi ya Waislamu Kwa Kisingizio cha Mipango ya Vita Dhidi ya Ugaidi
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ziara hiyo ilidokezwa na afisa mkuu wa Wizara ya Kigeni kama ufuatiliziaji juu ya mkutano kati ya Waziri Tillerson na mawaziri wa kigeni wa bara la Afrika jijini Washington mnamo Novemba 2017 ulioandaliwa kwa haraka na ambao uhudhuriaji wake ulikuwa mbaya.