Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 474
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hakuna aliyesalia kwenye uso wa dunia hii ambaye hajui jinai zinazofanywa dhidi ya watu wasio na hatia wa Gaza. Kila mtu anajua jinsi dola jeuri ya Mayahudi inavyolipua majumba, na kuzibomoa juu ya vichwa vya wakaazi wake. Umbile la Mayahudi linawashambulia raia wasio na silaha, na kuwaua shahidi barabarani mchana kweupe.