Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Kampeni: “Kuporomoka kwa Jamii... Matatizo na Suluhu”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki ilizindua kampeni yenye kichwa "Kuporomoka kwa Jamii...Matatizo na Suluhu" kutokana na kuwa ni chama cha kisiasa ambacho mfumo wake ni Uislamu, kina hisia nyeti na kinabeba mas’uliya yake kukabiliana na matatizo ya kijamii yanayosababishwa na mfumo wa kisekula wa kibepari ambao unafisidi watoto na vijana wetu, na unawatishia kwa fikra potovu, na kutaka kuharibu taasisi ya familia, na jamii inakokotwa kuelekea kwenye shimo na maangamivu.

Kwa mengi zaidi Bonyeza Hapa

Jumatano, 27 Jumada al-Ula 1444 H sawia na 21 Disemba 2022 M


- Alama Ishara ya Kampeni - 

#TehlikeninFarkındamısınız

- Mkutano wa Waandishi wa Habari -

Kutangaza uzinduzi wa kampeni ya "Kuporomoka kwa Jamii...Matatizo na Suluhu"

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Uturuki, inayoongozwa na Ustadh Mahmud Kar, iliandaa mkutano na waandishi wa habari jijini Istanbul, ambapo alitangaza uzinduzi wa kampeni ya "Kuporomoka kwa Kijamii…Matatizo na Suluhu." Uliohudhuriwa na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, waandishi, na wawakilishi wa baadhi ya mashirika yasiyo ya kiserikali.

Jumatano, 27 Jumada al-Ula 1444 H sawia na 21 Disemba 2022 M

- Kongamano la Ufunguzi la Ankara -

Kongamano "Kuporomoka kwa Jamii...Matatizo na Suluhu"

Uliofanyika jijini Ankara

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa jijini Ankara kongamano la ufunguzi wa kampeni ya "Kuporomoka kwa Jamii...Matatizo na Suluhu" na kupokelewa vyema na watu wa jiji la Ankara. Jumatano, 27 Jumada al-Ula 1444 H sawia na 21 Disemba 2022 M

Video Fupi ya Kampeni

Alhamisi, 28 Jumada al-Awwal 1444 H - 21 Disemba 2022 M

Koklu Degisim

Fuatilia Amali ya Kampeni Pamoja na Wajuzi

Jumamosi, 07 Jumada Al-Akhir 1444 H - 31 Disemba 2022 M

- Kongamano la Istanbul -
Kuporomoka kwa Jamii... Matatizo na Suluhu

Kama sehemu ya kampeni, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa jijini Istanbul kongamano lake  “Kuporomoka kwa Jamii... Matatizo na Suluhu”.

Jumapili, 15 Jumada II 1444 H - 08 Januari 2023 M

 - Kongamano la Adana -
"Kuporomoka kwa Jamii... Matatizo na Suluhu"

Kama sehemu ya kampeni, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa jijini Adana kongamano lake  “Kuporomoka kwa Jamii... Matatizo na Suluhu”.

Ijumaa, 20 Jumada al-Akhir 1444 H - 13 Januari 2023 M

 - Kongamano la Bursa -
"Kuporomoka kwa Jamii... Matatizo na Suluhu"

Kama sehemu ya kampeni, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa jijini Bursa kongamano lake  “Kuporomoka kwa Jamii... Matatizo na Suluhu”.

Jumapili, 22 Jumada al-Akhir 1444 H - 15 January 2023 M

 - Mkutano wa Ankara -
Kuhusu Kampeni ya "Kuporomoka kwa Jamii... Matatizo na Suluhu"

Kama sehemu ya kampeni, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa jijini Ankara kongamano lake pamoja na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari, walimu, wafanyibiashara, wanazuoni wa kidini na wasomi.

Jumatano, 25 Jumada al-Akhir 1444 H - 18 January 2023 M

- Kongamano la Konya -

"Kuporomoka kwa Jamii... Matatizo na Suluhu"

Kama sehemu ya kampeni, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano lakekatika mji wa Konya

"Kuporomoka kwa Jamii...Matatizo na Suluhu".

Jumatatu, 01 Rajab Tukufu 1444 H - 23 Januari 2023 M

Koklu Degisim - Kipindi cha Maoni ya Kisiasa

Kuangazia kampeni "Kuporomoka kwa Jamiii...Matatizo na Suluhu" na uzushi ulioelekezwa kwa Hizb ut Tahrir.

Ijumaa, 27 Jumada al-Akhir 1444 H - 20 Januari 2023 M

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la Kokludegisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu