Hakuna Haki Ndani ya Nidhamu Dhalimu ya Demokrasia
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 1 Septemba 2017, mahakama ya juu ya Kenya ikiongozwa na jaji mkuu David Maraga akiwa na jopo la majaji sita walitoa uamuzi uliopelekea kufutiliwa mbali kwa matokeo ya kura za uraisi na hivyo basi kupelekea kubatilisha kutangazwa kwa Uhuru Kenyatta kama raisi mteule.