Ijumaa, 20 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hali ya Kisiasa Nchini Gambia

Tunataraji Hizb inatia maanani kadhia za Waislamu katika Afrika kama inavyotia maanani kadhia nyengine za Waislamu ambazo likizuka jambo tu hutoa toleo baada ya siku moja au mbili…Lakini, kwa mfano, Gambia, haijatoa toleo lolote kuhusu (nchi hiyo) hadi leo, pamoja na kwamba yaliyotokea yameendelea kwa karibu miezi miwili.

Soma zaidi...

Ni Upi Uhalisia wa Mzozo wa Kimataifa na Ushawishi wake ndani ya Algeria?

Katika nchi ambayo watu wake wameubeba Uislamu, nchi ya mashahidi milioni moja kwa kupigana jihad dhidi ya uvamizi wa Ufaransa uliokuwepo kwa miaka 132, ndani ya nchi maandamano yaliyoungwa mkono na wengi yalianza, yakivunja vizuizi vya hofu kwa madhalimu wa Algeria tangu 22/2/2019 mpaka wa leo, lakini hawalinganii Uislamu! 

Soma zaidi...

Mzozo wa Amerika na Ulaya ndani ya Sudan

Imebainika kuwa maafisa wa Ulaya wamemiminika ndani ya Sudan na kutangaza kuinusuru serikali ya Hamdouk. Mnamo 16/9/2019, Waziri wa Kigeni wa Ufaransa aliwasili Khartoum na kukutana na Waziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdouk na kutangaza msaada wa Uro milioni 60 kwa Sudan na kwamba itafanyakazi kuiondosha Sudan katika orodha ya Ugaidi. 

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu