Urasilimali Umetulazimisha Kuchagua Ima Ugonjwa wa Virusi vya Korona au Njaa kupitia Amri ya Kutotoka Nje, ilhali Watawala Waislamu Wanaendelea na Utabikishaji Wake, Badala ya Kutawala kwa Uislamu.
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hata pamoja na kuruhusiwa kwa baadhi ya viwanda, kuzuiliwa kabisa kutotoka nje nchini Pakistan, kwa sababu ya mripuko wa ugonjwa wa Korona (Covid-19), kumekuwa ni mzigo mkubwa juu ya watu.