Watawala wa Pakistan Wametoa Kiapo cha Utiifu kwa Mfumo wa Kimataifa unaoongozwa na Marekani, Kuyafanya Watumwa Majeshi Yetu, Kuuweka Uchumi Wetu Rehani kwa Taasisi za Kimataifa na Kuufanya Mfumo Wetu wa Utawala na wa Kisiasa Mtiifu kwa Magharibi
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Huku sokomoko ya uchaguzi ikiendelea nchini Pakistan, Waislamu wa Pakistan wanaungua kwa hasira na mfadhaiko kutokana na mauaji ya ndugu na dada zao wa Kipalestina huko Gaza, mikononi mwa umbile halifu la Kiyahudi.