Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Al-Waqiyah TV: Mahojiano ya Moja kwa Moja "Uhuru Umashakani!"

Al-Waqiyah TV
Mahojiano ya Moja kwa Moja "Uhuru Umashakani!"

Uasi wiki hii huko Washington DC ndio ishara ya hivi karibuni ya machafuko ya kisiasa Magharibi.

Kipote cha wanasiasa wa Kimagharibi kimekuwa kikipigia debe "uhuru" kama mwelekeo wa mbele kwa wanadamu kwa miongo mingi.

Lakini, tunaona kuwa ndani ya Magharibi yenyewe, fahamu ya "uhuru" iko mashakani na inazidi kujadiliwa -  je inatumika kwa usawa, au ni chombo cha kuwahadaa umati?

Jumapili, 26 Jumada Al-Awwal 1442 H sawia na 10 Januari 2021 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu