- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Kipindi cha Al-Waqiyah TV: Hewani na Ahmad al-Qasas
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari chaneli yake mpya ya Runinga, Al-Waqiyah, kipindi kipya kwa jina "Hewani na Ahmad al-Qasas" ambapo Sheikh Ahmad al-Qasas atakichambua kitabu, Nidhamu ya Uislamu. Kuwa pamoja nasi.
Tunafuraha kutangaza kuwa silsila hii sasa itajumuisha tafsiri ya Kiingereza. Kuwa pamoja nasi kwa vipindi vipya.
UTANGULIZI
Na Sheikh Ahmad al-Qasas
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu - Kipindi 01 (Mpya)
Hitajio la Mwanadamu la Aqeedah (Itikadi)
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 02 (Mpya)
Mizani za Aqeeda
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 03 (Mpya)
Njia ya Imani - Kuthibitisha Uwepo wa Mwenyezi Mungu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 04 (Mpya)
Njia ya Imani - Je, Hisia Pekee Zatosha katika Kumwamini Mwenyezi Mungu?
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 05 (Mpya)
Njia ya Imani - Kushindwa kwa Akili Kudiriki Dhati ya Mwenyezi Mungu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 06 (Mpya)
Njia ya Imani – Hitajio la Mwanadamu la Ujumbe kutoka kwa Mwenyezi Mungu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 07 (Mpya)
Njia ya Imani – Dalili ya Utume wa Mohammad (saw)
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 08 (Mpya)
Njia ya Imani – Fahamu ya Iman na Dalili Yake
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 09 (Mpya)
Njia ya Imani – Masharti ya Iman
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 10 (Mpya)
Al-Qadhaa wa Al-Qadar – Iman katika Al-Qadar
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 11 (Mpya)
Al-Qadhaa wa Al-Qadar – Suala la Al-Qadha wa Al-Qadar
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 12 (Mpya)
Al-Qadhaa wa Al-Qadar – Fahamu ya Uongofu na Upotevu katika Quran
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 13 (Mpya)
Al-Qadhaa wa Al-Qadar – Muda wa Uhai Uko Mikononi mwa Mwenyezi Mungu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 14 (Mpya)
Al-Qadhaa wa Al-Qadar – Riziki Iko Mikononi mwa Mwenyezi Mungu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 15 (Mpya)
Al-Qadhaa wa Al-Qadar – Kumtegemea Mwenyezi Mungu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 16 (Mpya)
Hukmu ya Sheria
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 17 (Mpya)
Kiwango cha Hukmu za Sheria
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 18 (Mpya)
Hukmu ya Sheria – Ijtihad na Mujtahidina
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 19 (Mpya)
Ni Wakati Gani Mujtahid Huacha Rai Yake?
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 20 (Mpya)
Hukmu ya Sheria – Kuiga (Taqlid) na Waigaji (Muqalidina)
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 21 (Mpya)
Hukmu ya Sheria – Kuzunguka Baina ya Mujtahidina
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 22 (Mpya)
Sunnah
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 23 (Mpya)
Uwajibu wa Kuitendea Kazi Habari ya Mtu Mmoja (Khabar al-Ahad)
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 24 (Mpya)
Kuondoa Shaka kutoka kwa Sunnah ya Hadith
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 25 (Mpya)
Kuiga Vitendo vya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 26 (Mpya)
Nidhamu ya Uislamu na Kuchanganya Mada na Roho
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 27 (Mpya)
Ukamilifu na Upana wa Shariah ya Kiislamu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 28 (Mpya)
Njia ya Uislamu ya Kutatua Matatizo ya Mwanadamu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 29 (Mpya)
Usul Fiqh – Baina ya Muinuko na Mporomoko
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 30 (Mpya)
Mwamko wa Umma wa Kiislamu ni Kupitia Wahyi / Ufunuo
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 31 (Mpya)
La Ilaha Illa Allah ndio Kanuni ya Kimfumo / Msingi wa Kifikra kwa Waislamu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 32 (Mpya)
Njia ya Mtume (saw) ya Mabadiliko
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 33 (Mpya)
Je, Utabikishaji wa Kivipande Unaruhusiwa na Shariah? Kupinga Wazo la Utabikishaji wa Kivipande wa Shariah
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 34 (Mpya)
Jinsi ya Kubeba Ulinganizi: Walinganizi wa Mabadiliko na Mageuzi: Baina ya kuwa Kifikra na Kivitendo
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 35 (Mpya)
Jinsi ya Kubeba Ulinganizi Kipindi 35 Sehemu ya 6: Kutimiza Malengo katika Kubeba Ulinganizi
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 36 (Mpya)
Jinsi ya Kubeba Ulinganizi: Thaqafa ya Ulinganizi
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 37 (Mpya)
Uongozi wa Kifikra katika Uislamu: Hukmu ya Uislamu juu ya Utaifa
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 38 (Mpya)
Uongozi wa Kifikra katika Uislamu: Hukmu ya Uislamu juu ya Uzalendo
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 39 (Mpya)
Fungamano la Kimfumo ndio Siri ya Mwamko
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 40 (Mpya)
Mwamko Sahihi
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 41 (Mpya)
Uislamu ni Fikra iliyo na Tariqa (Njia)
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 42 (Mpya)
Kuundwa kwa Itikadi ya Kisekula
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 43 (Mpya)
Uislamu ni Nidhamu ya Maisha, Jamii na Dola
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 44 (Mpya)
Furaha (Saada) ni Kupata Radhi za Mwenyezi Mungu (swt)
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 45 (Mpya)
Maadili ya Mtu Binafsi na Jamii: Baina ya Uislamu na Madhehebu Yasiyo ya Kimungu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 46 (Mpya)
Uhuru Jumla au Kizuizi cha Shariah?
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 47 (Mpya)
Itikadi za Kisiasa na Umbile la Mwandamu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 48 (Mpya)
Itikadi za Kisiasa na Akili
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 49 (Mpya)
Je, Nidhamu ya Kiislamu Ilitabikishwa ndani ya Dola ya Kiislamu?
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 50 (Mpya)
Mafanikio ya Uongozi wa Kifikra wa Kiislamu: Mifano kutoka Historia
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)
Kitabu cha Nidhamu ya Uislamu – Kipindi 51 (Mpya)
Akhlaki katika Uislamu
(Video ina Tafsiri ya Kiingereza Chini Yake)