Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Al-Waqiyah TV: Kampeni Pana yenye Kichwa “Je, Khilafah Inasimamishwa Vipi?”

Al-Waqiyah TV Widespread Campaign titled  How to Establish the Khilafah?

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, na kwa baraka za Mwenyezi Mungu...

Tarehe mosi ya Rajab Al-Muharram mwaka huu wa 1444 Hijria, kampeni yetu itazinduliwa katika chaneli ya Al-Waqiyah ili kuwakumbusha Waislamu yale ambayo Mwenyezi Mungu amewaamrisha juu ya kazi ya kuregesha maisha kamili ya Kiislamu na kusimamisha Khilafah Rashidah ya pili kwa njia ya Utume ambayo Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) alitubashiria.

“Je, Khilafah inasimamishwa vipi?” Ndicho kichwa cha kampeni yetu, na ni swali ambalo lina maswali mengi ya kina.Tutawaandalia kikundi cha wanakampeni wa Dawah ili kuwajibu mwezi mzima.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu (swt) huu uwe ni mshale uliobarikiwa katika kuinua kiwango cha utambuzi baina ya watu wa Ummah na kuwaangazia njia sahihi ya kusimamisha tena Dola ya Khilafah...

Basi changieni pamoja nasi katika kueneza kheri hii...

Jumatatu, 01 Rajab Tukufu 1444 H – 23 Januari 2023 M

Kwa Mengi Zaidi Bonyeza Hapa

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu