Jumanne, 22 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Afisi Kuu ya Habari

H.  11 Rabi' II 1446 Na: H 1446 / 035
M.  Jumatatu, 14 Oktoba 2024

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Viumbe Vidhalilifu Zaidi Vyatishia na Kuahidi! Je, Mtajibu Vipi?
(Imetafsiriwa)

Vitisho vya viumbe vinavyochukiza na vioga zaidi vya Mwenyezi Mungu vinaendelea ambavyo Mwenyezi Mungu Mtukufu amesema juu yake:

[ضُرِبَتْ عَلَيْهِمُ الذِّلَّةُ أَيْنَ مَا ثُقِفُوا إِلَّا بِحَبْلٍ مِّنَ اللهِ وَحَبْلٍ مِّنَ النَّاسِ وَبَاءُوا بِغَضَبٍ مِّنَ اللهِ وَضُرِبَتْ عَلَيْهِمُ الْمَسْكَنَةُ]

“Wamepigwa na udhalili popote wanapo kutikana, isipo kuwa wakishika kamba ya Mwenyezi Mungu na kamba ya watu. Na wakastahiki ghadhabu ya Mwenyezi Mungu, na wamepigwa na unyonge.” [Aali-Imran: 112] Ni kitu gani kilichowafanya watende kwa kiburi, watishie na kuahidi!?

Katika hotuba yake mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Waziri Mkuu wa umbile la Kiyahudi, Netanyahu, alitishia: “Hakuna sehemu yoyote nchini Iran ambayo mkono mrefu wa ‘Israel’ hauwezi kufika. Na vivyo hivyo kwa Mashariki ya Kati yote ...” mkuu wa zamani wa upelelezi wao wa kijeshi, Amos Yadlin, alitishia: “Hatutaruhusu uwepo wa jeshi kwenye mipaka yetu isipokuwa kulingana na viwango tulivyoweka kwa jeshi la Misri na jeshi la Jordan, ambalo halisongi isipokuwa kwa amri kali kutoka dola yetu...” Vilevile, Waziri wa Ulinzi, Yoav Galant, alitishia, “shambulizi letu [juu ya Iran] litakuwa la kuua, litakuwa shabaha sahihi, na muhimu zaidi, la kushangaza.”

Ulimwengu mzima umeshuhudia athari kubwa ya Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa kwa jeshi la umbile la Kiyahudi, ambalo lilijivunia nguvu, uwezo, ufikiaji, na uwezo wake wa kijasusi, hadi wakawadanganya walimwengu kwamba wao ndio jeshi lisiloshindwa na kwamba wao ndio wenye nguvu kuu katika Mashariki ya Kati, mlinzi wa maslahi ya Magharibi katika kanda hiyo, na kiongozi wa Amerika na Uingereza.

Udanganyifu huu na mwingine ulifutwa katika muda wa saa mbili asubuhi ya tarehe 7 Oktoba mwaka jana, wakati kundi la mujahidina walipovamia na uwezo wao wa kawaida na kuua na kukamata idadi kubwa kutoka kwao, na kuifanya dunia nzima kuamka kutoka kwenye usingizi wake mzito na kuwafanya watambue kwamba mradi wao wa kikoloni umefeli, na kwamba umbile hili limetishwa na linakaribia kuporomoka, hivyo walikimbia kwa nguvu zao zote, vifaa na watu kwa nguvu zao zote kwa ajili ya kuunga mkono na kutoa usaidizi.

Imedhihirika kwa walimwengu kwamba vitisho vya Mayahudi havingetolewa bila ya ushirikiano na ulaji njama wa watawala wa sasa, kufeli kwa majeshi ya Waislamu, na hata uungaji mkono wao wa dhati kwa tawala hizo katika dhulma na uhaini wao.

Enyi Majeshi katika nchi za Kiislamu: Tunakusihini, na hatutachoka kukuonyeni, kukuongozeni, na kukuombeni nusra yenu ili kuwapindua watawala hawa na kufikia umoja wa Ummah. Mayahudi wanakutishieni kuwa chini yao, nyinyi ndio wenye vyeo vya kijeshi na medali. Bali hawatasita kutishia kuzikalia kimabavu nchi zenu moja baada ya nyingine, na watafanya hivyo! Wakifanya hivyo, hakuna hata mmoja wenu atakayesubutu kufichua utambulisho wake wa kijeshi! Labda mutalazimika kujificha kwa mavazi ya wanawake kwa hofu ya ukatili wao! Je, mtakubali hilo huku mkijifakharisha kuwa nyinyi ni kizazi cha Khalid, Amr, Qutuz, Saladin na Muhammad al-Fatih?!

[قَاتِلُوهُمْ يُعَذِّبْهُمُ اللهُ بِأَيْدِيكُمْ وَيُخْزِهِمْ وَيَنصُرْكُمْ عَلَيْهِمْ وَيَشْفِ صُدُورَ قَوْمٍ مُّؤْمِنِينَ * وَيُذْهِبْ غَيْظَ قُلُوبِهِمْ وَيَتُوبُ اللهُ عَلَى مَن يَشَاء وَاللهُ عَلِيمٌ حَكِيمٌ]

“Piganeni nao, Mwenyezi Mungu awaadhibu kwa mikono yenu, na awahizi na akunusuruni muwashinde, na avipoze vifua vya kaumu ya Waumini, Na aondoe hasira ya nyoyo zao. Na Mwenyezi Mungu humkubalia toba ya amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima.” [At-Tawbah: 14-15]

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Afisi Kuu ya Habari
Address & Website
Al-Mazraa P.O. Box. 14-5010 Beirut- Lebanon
Tel: 00961 1 30 75 94 Mobile: 00961 71 72 40 43
www.hizb-ut-tahrir.info
Fax: Telefax
E-Mail: media (at) hizb-ut-tahrir.info

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu