Hizb ut Tahrir Afrika Mashariki Inatoa Mwito Kabla ya Mwisho… kwa Ummah wa Mafanikio Makubwa Kabisa
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wanachama wa Hizb ut Tahrir Afrika Mashariki, Ijumaa iliyopita, kwa kuingia Ramadhan (2 Ramadhan 1436 H / 19 Juni 2015) walikuwa na wasaa mzuri wa kukutana na wanachama wengine wa Hizb kote ulimwenguni kufikisha ujumbe maalumu kutoka kwa Amiri wa Hizb unaojulikana kama "Mwito Kabla ya Mwisho… kutoka kwa Hizb ut Tahrir"