Jumapili, 03 Rabi' al-thani 1446 | 2024/10/06
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Palestina Inakombolewa kwa Majeshi, Sio kwa Makongamano na Sheria ya Kimataifa

“Wakati umewadia wa amani...” Risala za Al-Sisi kutoka kwa Kongamano wa Kuinusuru Al-Quds, chini ya kichwa hiki Gazeti la Al-Dustour liliandika mnamo Jumapili 12/2/2023, kuwasilisha kile lilichokiita risala za rais wa Misri, ambaye alisema: Kadhia ya Palestina bado ni kipaumbele kwa Misri na Waarabu.

Soma zaidi...

Tetemeko la Ardhi Limefichua Sura Halisi ya Jumuiya ya Kimataifa na Mashirika Yake ya Kimataifa

Watu wa Ash-Sham waliamka alfajiri siku ya Jumatatu, 6/2/2023 na tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa nyuzi 7.8 kwenye kipimo cha Richter, ambalo lilidumu kwa karibu dakika mbili, na kuacha uharibifu wa kutisha katika maeneo mengi ya miji ya Syria, kwani idadi ya waliokufa katika tetemeko hilo ilifikia 3,581, na zaidi ya majeruhi 12,400.

Soma zaidi...

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan Ulikutana na Mkurugenzi wa Polisi wa Forodha na Naibu Mkurugenzi wa Polisi huko Wadi Halfa

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan ukiongozwa na Ustadh Abdul-Azim Issa- Mwanachama wa Hizb ut Tahrir, ukifuatana na Ustadh Bilal Ali - Mwanachama wa Hizb ut Tahrir, na Issam Yusuf, na Abdullah Mahjoub, ambao ni waungaji mkono wa hizb, walikutana katika ziara ya kwanza mnamo Jumapili tarehe 12/02/2023 na Brigedia Jenerali Sir Al-Khatam Ahmad Othman - Mkurugenzi wa Polisi wa Forodha wa Wadi Halfa.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir ni Chama cha Kimfumo na Kisiasa ambacho Kinaona kuwa ni Haramu Kubeba Silaha kwa ajili ya Kusimamisha Khilafah kwa Njia ya Utume. Kutafuta Nusrah kwa ajili ya Kusimamisha Tena Khilafah ni Faradhi

Watawala wa Pakistan wametikiswa na kufeli kikamilifu kwa mfumo wa sasa na wito unaokua wa Khilafah. Wakifichua kufilisika kwao wenyewe kimfumo na kisiasa, wanajaribu bila mafanikio kukinasibisha chama cha kimataifa, kimfumo, kisiasa, Hizb ut Tahrir, na ugaidi, kupitia ripoti ya habari katika Gazeti la "Daily Aaj" ('Daily Today') la mnamo tarehe 11 Februari 2023.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu