Uhalifu wa Akaba Utaongeza tu Aibu na fedheha ya Mamlaka na Tawala hizo, Na Utaongeza Uovu na Jinai ya Adui
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Huku damu ya mashahidi wa Nablus ikiwa bado haijakauka, na waliojeruhiwa wakiwa bado wamefinikwa na damu yao wenyewe, ujumbe wa Mamlaka ya Palestina (PA), ambao sasa unaona uhaini kama mtazamo lakini badala yake kama njia ya maisha