Jumatano, 23 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Misri

H.  23 Rabi' I 1445 Na: 1445/03
M.  Jumapili, 08 Oktoba 2023

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Je! Sio wakati Sasa, Enyi Jeshi la Kinana, wa Kukata Kiu Yenu ya Kuikomboa Al-Aqsa na Kuswali Humo?!
(Imetafsiriwa)

Watu waliamka jana asubuhi, Jumamosi, kwa vilio na mayowe ya umbile la Kiyahudi kufuatia shambulizi la kundi la Mujahidina kwenye makaazi yaliyozunguka Ukanda wa Gaza, wakichukua udhibiti wake, wakikamata idadi kubwa ya askari wa Kiyahudi, na kuwauwa mamia, na kujeruhi zaidi ya elfu yao, huku rais wa Misri akitangaza kwamba anaongeza mawasiliano ili kudhibiti hali hiyo na kuzuia kuongezeka zaidi kwa ghasia kati ya pande hizo mbili, sio kwa sababu ya kuwaogopea watu wa Palestina, bali kulilinda umbile la Kiyahudi!

Kitendo hiki cha kishujaa kinathibitisha hitaji la Ummah kwa majeshi yake, na umuhimu wa hatua yake ya kuikomboa Palestina. Pia inathibitisha udhaifu wa umbile la Kiyahudi na kwamba haliwezi kuhimili kundi lenye silaha, kwa hivyo vipi lau lingekabiliwa na jeshi lililopangwa?! Je! Nini kitatokea lau majeshi ya Umma yanayo tamani kuikomboa Palestina yatakusanyika dhidi yake?

Enyi waaminifu katika Jeshi la Kinana: Je! Ujasiri wenu hauchochewi na kile watu wa Gaza walikifanya huku wakiwa katika hali ya udhaifu na kuzingirwa. Kwa hivyo, kuhusu nyinyi na ukombozi wa Palestina ni jukumu lenu ambalo Mwenyezi Mungu amekufaradhishieni ni juu yenu?! Wallahi, muna jukumu mbele ya Mwenyezi Mungu (swt), kwa kuwa mumewaangusha watu wa Palestina na Ummah katika maeneo ambayo wanahitaji zaidi msaada wenu, kwa hivyo muonyesheni Mwenyezi Mungu anachokipenda kutoka kwenu na muondoe kutoka kwenu watawala wabaya ambao wanakuzuieni kutokana na jukumu lenu. Wallahi, hawatakunufaisheni na chochote mbele ya Mwenyezi Mungu, badala yake watakukaneni, hivyo harakisheni kuwakana wao hivi sasa. Na harakisheni kupata msamaha kutoka kwa Mola weni na Pepo ambayo upana wake ni kama mbingu na ardhi, iliyoandaliwa kwa mtu yeyote anayetangaza kwa Mwenyezi Mungu na kuondoa shingoni mwake utiifu wote kwa Magharibi na vibaraka wake.

Kwa hivyo, harakisheni kuing’oa serikali hii kutoka kwa mizizi yake ili isipoteze juhudi zenu, isizuie harakati zenu, na kukuzuieni kutokana na jukumu lenu, kutokana kusimamisha dola ambayo hufungua mlango mbele yenu na kukusukumeni kuelekea kwenye radhi za Mwenyezi Mungu. Kupitia Jihad katika njia yake, mukibeba Dini yake, na kuwanusuru waliodhulumiwa. Kwa hivyo, isimamisheni, enyi wenye ikhlasi katika Jeshi la Kinana, kama Khilafah Rashida kwa njia ya Utume.

[وَالَّذِينَ آمَنُواْ وَهَاجَرُواْ وَجَاهَدُواْ فِي سَبِيلِ اللهِ وَالَّذِينَ آوَواْ وَّنَصَرُواْ أُولَئِكَ هُمُ الْمُؤْمِنُونَ حَقّاً لَّهُم مَّغْفِرَةٌ وَرِزْقٌ كَرِيمٌ]

“Na walio amini wakahama na wakapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na walio toa mahala pa kukaa na wakanusuru, hao ndio Waumini wa kweli. Watapata msamaha wa Mwenyezi Mungu na kuruzukiwa kwema.” [Al-Anfal: 74].

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Misri

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Misri
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu