Ijumaa, 25 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  6 Safar 1442 Na: HTS 1442 / 14
M.  Jumatano, 23 Septemba 2020

 Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kadhia za Ummah
(Imetafsiriwa)

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Sudan inafurahi kuwaalika kuhudhuria kikao cha Kadhia za Ummah, na ni heshima kwake kushiriki kwenu ndani ya mkusanyiko wa wanasiasa, wanahabari, na watu wa maoni, kujadili maendeleo ya kadhia na kupata maono mazito na yenye mwanga, yenye kuuamsha Ummah wetu kutokana na kulemaa kwake kivitendo, na kuurudisha kama ulivyokuwa; Ummah bora ulioletwa kwa watu. Na maudhui ya wiki hii ni kwa anwani:

“Je, Gari ya Moshi ya Usawazishaji Mahusiano Itapita katika Kituo cha Khartoum?”

Watakaozungumza katika kikao hiki ni:

1. Ustaadh Al-Nazir Muhammad Hussein – Mwanachama wa Baraza la Wilayah la Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan.
2. Ustaadh Abdullah Hussein – Mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan.

Eneo: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan - Khartoum Mashariki, makutano ya magharibi ya barabara ya Al-Mak Nimr na barabara ya 21 Octoba.

Wakati: Jumamosi, 9 Safar 1442 H sawia na 26/9/2020 M – saa tano Asubuhi.

Uwepo wenu unamaanisha kuwa na hamu kwenu na kadhia za Ummah

Ibrahim Uthman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu