Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Tunisia

H.  10 Muharram 1442 Na: 1442 / 01
M.  Jumamosi, 29 Agosti 2020

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Mara tu Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia ilipozindua kampeni ya kutangaza kongamano la Khilafah la mwaka huu na ambao lilinasibishwa na kumbukumbu ya Hijra ya Mtume (saw), mashababu wake walihangaishwa na vyombo vya usalama katika maeneo mengi ambao walitaka kujua lini itakuwa safari (ya kwenda kwenye kongamano) na njia za usafiri zitakuwa ni zipi!

Wale wanaosimamia usalama katika nchi yetu je, wanaogopa nini kwa Hizb kusimamisha Uislamu na kurudisha mpango huo kutoka Magharibi?!

Nani mwingine isipokuwa Hizb ut Tahrir atafikia lengo lenu la kuhifadhi usalama wa Ummah huu ikiwa nia zenu ni za kweli?

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Katika Wilayah Tunisia

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Tunisia
Address & Website
Tel: 71345949 / 21430700
http://www.ht-tunisia.info/ar/
Fax: 71345950
E-Mail: tunis@htmedia.info

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu