“Na wale waliokufuru ni marafiki wenyewe kwa wenyewe.” Vita vya Bosnia ni Mfano
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ibn Kathir ameeleza katika tafsiri yake ya aya, maana, chuki imedhihiri kwenye nyuso zao, na katika yale wanayoyatamka baadhi ya wakati, pamoja na, uadui walio nao dhidi ya Uislamu na watu wake katika vifua vyao.